Nissan Fuga: Naomba kujua ubora wake

Kutumia milion 20 kwa ajili private car si bora ninunue toyota hiace kwa siku iniingizie 60,000.
 
Yale si ni ma 2.0 - 2.5 inline six. Engine kubwa zinabwia huwezi linganisha na 1.5 inline four.
Hapana, Nissan Fuga zote ni V configuration kuna V6(2500cc, 3500cc) na baba lao V8(4500).

Unywaji wa mafuta ni relative na kipato chako, aina ya safari zako na aina ya uendeshaji. Its a very luxurious but powerful car. Ukitaka kucruise pole pole mtaani freshy, ukitaka speed ya ndege inatema si kitoto.

Fuga 2500cc ina economy nzuri sana wakuu....... 8-10km/L mjini, ila inagonga mpk 14km/L kwenye highway. Kwa ushauri kama unataka used ikiwa na mileage chini ya 150,000km ni bomba. The only expensive repair huwa ni kubadili timing chain baada ya 150,00km cause unashusha engine yote inaweza cost mpk 3M. Zaid ya hapo itadepend na maintenance record yake, ni gari inahitaji uipende. Service on time, mafuta masafi etc nayo itakupenda haswa cuz haizingui.

Spare zake yes sio bei za kifara fara na hakuna fake ila ukifunga ni mkataba. Ni gari imara na ngumu sana. Ukimaintain vzuri hata km 300,000 unagonga bila kufanya any major repair.

Yangu inachezea 180,000km na ipo bomba kma mpya. Ni gari imenyooka sana huwa nkiamka asubuhi nachungulia dirishan kuadmire namna inavopendeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23]ukiamka unachungulia dirishani kufanyaje...??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23]ukiamka unachungulia dirishani kufanyaje...??

Sent using Jamii Forums mobile app
Ah ah dah kwa jamaa alivyoisifia nashindwa elewa kwanini wabongo wanaogopa German machine kama bmw,audi ,mercedes am sure kwa bei aliyonunulia unampata mwanamke classic kwa half the stress ka ni case ya BMW
 
Daa...hizo bei za shock up ...bearing hahahaaaa..this car spare zake expensive

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv hii gari kweli kuambayo CC inaweza kuwa chini ya 3000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Nissan note inatumia lita ngp kwa km1? Na mafuta lita yalikuwa sh ngapi mpaka utumie mafuta ya laki moja(100,000) Dar mpk Ars kwny umbali wa zaidi ya km600 mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli tupu. Nilinunua Nissan Skyline 3.0m kwa mtu sasa hv najuta
 
Ah ah dah kwa jamaa alivyoisifia nashindwa elewa kwanini wabongo wanaogopa German machine kama bmw,audi ,mercedes am sure kwa bei aliyonunulia unampata mwanamke classic kwa half the stress ka ni case ya BMW
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tucheke tuongeze siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Nissan note inatumia lita ngp kwa km1? Na mafuta lita yalikuwa sh ngapi mpaka utumie mafuta ya laki moja(100,000) Dar mpk Ars kwny umbali wa zaidi ya km600 mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
wakati huo nilinunua lita moja sh 2240 kwmq sijakosea...
high way IU naenda mpaka 14 km kwa lita.
nadhan Dar to Arusha kuna zaidi ya 640 km

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…