Nimeona hapa Tz swebsite ya usedcarstz wanasema ni 18m.ukiweza kuagiza gari japani kuna unafuu mkubwa sana na nibuhakika kuliko kwenye hizi yadi zetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona hapa Tz swebsite ya usedcarstz wanasema ni 18m.ukiweza kuagiza gari japani kuna unafuu mkubwa sana na nibuhakika kuliko kwenye hizi yadi zetu
duh..imepanda...hiyo ni ya mwaka gani?Nimeona hapa Tz swebsite ya usedcarstz wanasema ni 18m.
Hii hapa Mkuuduh..imepanda...hiyo ni ya mwaka gani?
coz za kuanzia 2009 zipo juu sana
Kutumia milion 20 kwa ajili private car si bora ninunue toyota hiace kwa siku iniingizie 60,000.
mkuu hizi specifications ni za nissan fuga na si za nissan note kama nilivyodhan hapo awali...note ni gari ndogo class ya kina spacio japo yenyewe ni ndogo kidoho..Hii hapa MkuuView attachment 754745
Ni kweli ila pia kuna matoyota mfano magx110 yanakunywa mafuta kamq ng'ombe mwenye kiu
Hapana, Nissan Fuga zote ni V configuration kuna V6(2500cc, 3500cc) na baba lao V8(4500).Yale si ni ma 2.0 - 2.5 inline six. Engine kubwa zinabwia huwezi linganisha na 1.5 inline four.
[emoji23][emoji23]ukiamka unachungulia dirishani kufanyaje...??Hapana, Nissan Fuga zote ni V configuration kuna V6(2500cc, 3500cc) na baba lao V8(4500).
Unywaji wa mafuta ni relative na kipato chako, aina ya safari zako na aina ya uendeshaji. Its a very luxurious but powerful car. Ukitaka kucruise pole pole mtaani freshy, ukitaka speed ya ndege inatema si kitoto.
Fuga 2500cc ina economy nzuri sana wakuu....... 8-10km/L mjini, ila inagonga mpk 14km/L kwenye highway. Kwa ushauri kama unataka used ikiwa na mileage chini ya 150,000km ni bomba. The only expensive repair huwa ni kubadili timing chain baada ya 150,00km cause unashusha engine yote inaweza cost mpk 3M. Zaid ya hapo itadepend na maintenance record yake, ni gari inahitaji uipende. Service on time, mafuta masafi etc nayo itakupenda haswa cuz haizingui.
Spare zake yes sio bei za kifara fara na hakuna fake ila ukifunga ni mkataba. Ni gari imara na ngumu sana. Ukimaintain vzuri hata km 300,000 unagonga bila kufanya any major repair.
Yangu inachezea 180,000km na ipo bomba kma mpya. Ni gari imenyooka sana huwa nkiamka asubuhi nachungulia dirishan kuadmire namna inavopendeza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah ah dah kwa jamaa alivyoisifia nashindwa elewa kwanini wabongo wanaogopa German machine kama bmw,audi ,mercedes am sure kwa bei aliyonunulia unampata mwanamke classic kwa half the stress ka ni case ya BMW
Ni kweli ila pia kuna matoyota mfano magx110 yanakunywa mafuta kamq ng'ombe mwenye kiu
Daa...hizo bei za shock up ...bearing hahahaaaa..this car spare zake expensiveWheel bearinga ni usd 750 za upande wa mbele tu
Shockuup ya mguu moja ni 550,000 inamaana miguu 4 ni 2200000
Taa ikipasuka moja andaaa 700000
Mafuta inachagua ukiweka super andaa kuondoa miss
Kumbuka mafundi wanaogopa kufungua injini yake
Bush zinaanzia 240,000 kuendelea
Kumbuka uliweka spea feki au zilizochini ya kiwango kila mwezi utakua unabadili
Kama huna pesa za strec Fuga ni gari nzuri sana ni stable luxiurious comfotable na nzuri ya kuopolea watoto wazuri. Wenyewe wanasema its more comfotable to be heartbroken inside the might fuga than an altezza
Mafuta nisiongelee sana kama unatoka mwenge hadi tegeta anadaa 20000
Kama una strec na hela za kibubu tafuta starlet au premio hata allex sio mbaya ukishindwa sana basi IST ama Passo
Hv hii gari kweli kuambayo CC inaweza kuwa chini ya 3000Wheel bearinga ni usd 750 za upande wa mbele tu
Shockuup ya mguu moja ni 550,000 inamaana miguu 4 ni 2200000
Taa ikipasuka moja andaaa 700000
Mafuta inachagua ukiweka super andaa kuondoa miss
Kumbuka mafundi wanaogopa kufungua injini yake
Bush zinaanzia 240,000 kuendelea
Kumbuka uliweka spea feki au zilizochini ya kiwango kila mwezi utakua unabadili
Kama huna pesa za strec Fuga ni gari nzuri sana ni stable luxiurious comfotable na nzuri ya kuopolea watoto wazuri. Wenyewe wanasema its more comfotable to be heartbroken inside the might fuga than an altezza
Mafuta nisiongelee sana kama unatoka mwenge hadi tegeta anadaa 20000
Kama una strec na hela za kibubu tafuta starlet au premio hata allex sio mbaya ukishindwa sana basi IST ama Passo
Hii Nissan note inatumia lita ngp kwa km1? Na mafuta lita yalikuwa sh ngapi mpaka utumie mafuta ya laki moja(100,000) Dar mpk Ars kwny umbali wa zaidi ya km600 mkuu?No research no right to speak....
Nina nissan note ya mwaka 2005 cc 1500..mwaka wa 4 huu....sijawahi kujuta kuhusu mafuta..
Kuna watu wenye hizo IST wala hatucheknibkwenye ulji wa mafuta tunatofautiana kidogo sana na bado hii nissan ina nguvu sana.
Hivyo tusipende ku.. generalised mambo kwama Nissan zinabugia mafuta.....hii nissan November 2017 nilisafiri nayo Dar to Arusha mafuta ya 100,000/- na nilipofika arusha mafuta hayo hayo nilienda nayo kazini siku tatu
Kuhusu spea hakuna spea iliyosumbia nikaikosa dukani na nipo Arusha, sembuse kwa Dar.
Nissan hazitak hela za mawazo na zinahitaji nidhamu ya utunzaji na service zenye ubora,,ukizingatia hayo Nissan utaipenda na hutojuta ..
More over ni gazi nzito na zina balance ya kutosha barabarani..
Kweli tupu. Nilinunua Nissan Skyline 3.0m kwa mtu sasa hv najutaHahahahah nikukumbushe tu hio gari ni V6 ya 2.5L ambayo unatakiwa uwe na walau kipato cha 70,000 ya kuchezea kila siku ndio utaiinjoy maana nissan zinabubuja wese kuliko Toyota ma piston yake makubwa zaidi.
Kinyume na hapo hutachukua mwezi utarudi kuanzisha uzi wa kutaka ku swap engine uulize wadau kama engine ya IST au Passo ipi itafaa kufungwa kwenye Fuga.
Nissan ni gari imara sana ila ukiacha Bluebird sylphy na March hamna ambayo inaendesheka kirahisi. Hio Xtrail tu ingawa sio 6 ila walionazo wanakoma.
Zipo za 2500
Nissan skyline huwa ni 6 zile. Dah pole mkuu maumivu yake hata Mark 2 GX110 ina afadhali!Kweli tupu. Nilinunua Nissan Skyline 3.0m kwa mtu sasa hv najuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tucheke tuongeze sikuAh ah dah kwa jamaa alivyoisifia nashindwa elewa kwanini wabongo wanaogopa German machine kama bmw,audi ,mercedes am sure kwa bei aliyonunulia unampata mwanamke classic kwa half the stress ka ni case ya BMW
wakati huo nilinunua lita moja sh 2240 kwmq sijakosea...Hii Nissan note inatumia lita ngp kwa km1? Na mafuta lita yalikuwa sh ngapi mpaka utumie mafuta ya laki moja(100,000) Dar mpk Ars kwny umbali wa zaidi ya km600 mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app