Nissan hardbody: Jeneza linalotembea.

Ime score 0 haina tofauti na Tata nano ambayo ni world cheapest car
 
Hizo ni gari za kazi, hata polisi wenyewe wanazipenda
Wenzetu Kenya sheria inawabana kuagiza gari lenye umri zaidi ya miaka 8
Lakini Polisi ni idara ya serikali, serikali ina utaratibu wa kuagiza magari mapya, sasa inakuwaje hapo?
 
Gari zote ni majeneza yanayotembea mkuu! hata ukiwa na benz ukipata ukonzi wa haja lazima ukate ringi.
Kuna askari wa traffic alinisimamisha kipindi cha nyuma na akaniambia " unajua hili ni jeneza" nikamwambia "hapana askari hii ni gari na sio jeneza", na nikamwambia nayafuta maneno yako kwa damu ya Yesu.

Unachokikiri huwa kinakuwa kweli.
 
My dream car! Nikilipata hili tu sitanunua Gari lolote in life! Help me God!
 
Naomba MUNGU nisitumie hizo simu aisee na sidhani Kama nitakuja kutumia
 
Umeongea Ukweli mkubwa....tena hata hiyo np300 wayayomudu kuinunua ni wa kuhesabu
 
Sipati picha hii gari ikipata ajali ikiwa Kwenye speed 120....
AJali inatisha aisee
Jana nimeona mtu kasagwa nje kidogo ya Dodoma ukielekea Singida dah. Yaani yule jamaa katambulika kwa wenyeji waliomuona akivuka but zimebaki chips tu pale.
 
Jana nimeona mtu kasagwa nje kidogo ya Dodoma ukielekea Singida dah. Yaani yule jamaa katambulika kwa wenyeji waliomuona akivuka but zimebaki chips tu pale.
Hicho kipande hakuna Dereva anaendesha chini ya speed 100...
Madereva wanajiachia vibaya mno alafu vibao vya speed 50 viko mbali
 
Jana nimeona mtu kasagwa nje kidogo ya Dodoma ukielekea Singida dah. Yaani yule jamaa katambulika kwa wenyeji waliomuona akivuka but zimebaki chips tu pale.
Kagongwa na gari au kafanya nini..
 
Majeneza haya, hili ni South Africa model for Africa by Ford
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…