PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
duuuuGarii imekaa kma beetle ya mwaka 1986[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duuuuGarii imekaa kma beetle ya mwaka 1986[emoji1787]
Unajua kuna kitu kinatwa kupenda au mtazamo..Umeona eeh,af hyo ni kaka ake na Nissan March(Mr Bean)
Umeongea point Sana MkuuUnajua kuna kitu kinatwa kupenda au mtazamo..
Gari unalolipenda wewe, kuna mwenzio analiona ni kama guta...
Gari ni ka ma nguo..nguo unayoipenda wewe kuna mwenzi anaiona ni tambara la deki....
Gari ni kama mwanamke....mwanamke unayempenda wewe, ambaye umekufa kwake, umeoza...kuna mwenzako anamuona huyo mwanamke hana hadhi hata ya kuwa house girl wake..
Gari ni kama rangi....rangi unayoipenda wewe, kuna mwenzako anaiona ni yeboyebo..
Gari ni kama nyumba..nyumba yako unayoiona ya maana...kuna mwenzako anaiona ni tembe..
Ukishayafamu haya niliyoyasema, huwezi kumbeza mtu anayemiliki gari fulani...mtazamo wake, upendo wake na uwezo wake ndivyo vilivyomfanya amiliki gari fulani...
Haya ni mabo ya Kisaikolojia....waliosoma saikolojia nadhani wananielewa....hatuwezi kufanana...kinachoiteka akili yangu, hakiwezi kuiteka akili yako au akili ya mtu mwingine....
Mwisho, me naona ni bora zaidi mtu anapoomba ushauri juu ya gari fulani, tumshauri mambo ya kiufundi, ubora, spea na mengine yanayofanana na hayo...tusimkatishe tamaa kutokana na chaguo la moyo wake. ...
Watu wote ingekuwa tunafanana mitazamo, dunia isingekalika.
Unajua kuna kitu kinatwa kupenda au mtazamo..

Hahahaa...kila mtu ana mtazamo wake juu ya kitu fulani...mfano mimi kina gari inaitwa Toyota Duet, Vitz old model, Nadia, Gaia, Rav 4 old model, Fun cargo...haya magari mmhhh..kwa kweli hapana... yaani hata atokee mtu wa namna gani, hajanishawishi...Daah kuna mzungu alikua anasema haya ma-nissan patrol V8/infiniti qx80 yako kama vile 'overweighted pig' mkuu,hahah.
[emoji16][emoji23][emoji23] lakini naamini litakuwa na maana nyingeine ya Kijapan ambayo wajapani walilenga hapoNa msisahau kwa ki-hebrew/ki-israel JUKE ni Mende
Hahah mzee baba hapo kwny rav 4 old model itabidi utuvumilie kidogo ila hizo nyingine zote ulizozitaja uko sawa 100% mkuu.Hahahaa...kila mtu ana mtazamo wake juu ya kitu fulani...mfano mimi kina gari inaitwa Toyota Duet, Vitz old model, Nadia, Gaia, Rav 4 old model, Fun cargo...haya magari mmhhh..kwa kweli hapana... yaani hata atokee mtu wa namna gani, hajanishawishi...
Kuna moja nilmesahau.. Inaitwa Toyota Porte....Hahah mzee baba hapo kwny rav 4 old model itabidi utuvumilie kidogo ila hizo nyingine zote ulizozitaja uko sawa 100% mkuu.
Kuna moja nilmesahau.. Inaitwa Toyota Porte....
Mmh. hii gari sijui wajapani waliwaza nini...[emoji23][emoji23]
Japo kuna mtu anaipenda kupindukia
Heshima kwako mkuu[emoji119]Unajua kuna kitu kinatwa kupenda au mtazamo..
Gari unalolipenda wewe, kuna mwenzio analiona ni kama guta...
Gari ni ka ma nguo..nguo unayoipenda wewe kuna mwenzi anaiona ni tambara la deki....
Gari ni kama mwanamke....mwanamke unayempenda wewe, ambaye umekufa kwake, umeoza...kuna mwenzako anamuona huyo mwanamke hana hadhi hata ya kuwa house girl wake..
Gari ni kama rangi....rangi unayoipenda wewe, kuna mwenzako anaiona ni yeboyebo..
Gari ni kama nyumba..nyumba yako unayoiona ya maana...kuna mwenzako anaiona ni tembe..
Ukishayafamu haya niliyoyasema, huwezi kumbeza mtu anayemiliki gari fulani...mtazamo wake, upendo wake na uwezo wake ndivyo vilivyomfanya amiliki gari fulani...
Haya ni mabo ya Kisaikolojia....waliosoma saikolojia nadhani wananielewa....hatuwezi kufanana...kinachoiteka akili yangu, hakiwezi kuiteka akili yako au akili ya mtu mwingine....
Mwisho, me naona ni bora zaidi mtu anapoomba ushauri juu ya gari fulani, tumshauri mambo ya kiufundi, ubora, spea na mengine yanayofanana na hayo...tusimkatishe tamaa kutokana na chaguo la moyo wake. ...
Watu wote ingekuwa tunafanana mitazamo, dunia isingekalika.
Uuuwii[emoji134][emoji134][emoji134]Hahah Kuna muigizaji anaitwa mwijaku ndio gari yake hio,nilivyojua nilimuonaga bonge la zuzu.
Kwa mfano Pajero kwa kihispaniola is TO MASTERBATE.
Heshima kwako mkuu[emoji119]
Huo muonekano wake mimi naupenda balaa, mkuu funguka tu gari iko safi hiyoWakuu, wataalamu wa magari naomba kufahamu kiundani kuhusu hii gari Nissan Juke ya 2011 ina 1490cc, kwanini Bei yake iko juu sana (23 Million) na wakati ina muonekano mdogo kama wa IST?View attachment 1189628
Hiyo gari ina injini HR 15 ambayo ndiyo imefungwa kwenye Nissan Tiida,Note, Wingroad, Ad Van na nyingine nyingi za cc 1490...Sijawahi elewa hiyo gari
Mkuu hata Mimi hii gari ipo akilini mwangu.X trail zimeshaanza kuwa common...spea zinapatikana kirahisi haswa kama upo miji ile mikubwa ila bei ya spea zake ni ghali...
Japo watu wengi wanaziponda hizi gari kuwa ni kimeo....Im not sure about that...ila nichofahamu gari lolote ni matunzo...
Kuna mtu ana x trail namba B imesimama vizuri na kuna mwenye Noah namba D, ukiitazama utasikia kichefuchefu...
Hii ina maana ukiwa mtunzaji na kuzingatia huduma stahiki, hakuna gari baya.
Kwa ninvyofahamu mimi Rav 4 ina uimara zaidi ikiwa inafungwa spea zake Genuine, Consumption yake ipo juu kidogo kwa zile zenye 3s engine...Mkuu hata Mimi hii gari ipo akilini mwangu.
Kama sio hii Basi mbadala wake ni rav 4 old model.
Mkuu kwa uzoefu wako unaonaje ukilinganisha Kati ya Rav 4 old model na Nissan x trail?ipi unanishauri nianze nayo kwani zite sijawahi kutumia