Nissan JUKE 2011

Nissan JUKE 2011

Umeona eeh,af hyo ni kaka ake na Nissan March(Mr Bean)
Unajua kuna kitu kinatwa kupenda au mtazamo..

Gari unalolipenda wewe, kuna mwenzio analiona ni kama guta...

Gari ni ka ma nguo..nguo unayoipenda wewe kuna mwenzi anaiona ni tambara la deki....

Gari ni kama mwanamke....mwanamke unayempenda wewe, ambaye umekufa kwake, umeoza...kuna mwenzako anamuona huyo mwanamke hana hadhi hata ya kuwa house girl wake..

Gari ni kama rangi....rangi unayoipenda wewe, kuna mwenzako anaiona ni yeboyebo..

Gari ni kama nyumba..nyumba yako unayoiona ya maana...kuna mwenzako anaiona ni tembe..

Ukishayafamu haya niliyoyasema, huwezi kumbeza mtu anayemiliki gari fulani...mtazamo wake, upendo wake na uwezo wake ndivyo vilivyomfanya amiliki gari fulani...

Haya ni mabo ya Kisaikolojia....waliosoma saikolojia nadhani wananielewa....hatuwezi kufanana...kinachoiteka akili yangu, hakiwezi kuiteka akili yako au akili ya mtu mwingine....

Mwisho, me naona ni bora zaidi mtu anapoomba ushauri juu ya gari fulani, tumshauri mambo ya kiufundi, ubora, spea na mengine yanayofanana na hayo...tusimkatishe tamaa kutokana na chaguo la moyo wake. ...

Watu wote ingekuwa tunafanana mitazamo, dunia isingekalika.
 
Umeongea point Sana Mkuu
 
Daah kuna mzungu alikua anasema haya ma-nissan patrol V8/infiniti qx80 yako kama vile 'overweighted pig' mkuu,hahah.
 
Hahahaa...kila mtu ana mtazamo wake juu ya kitu fulani...mfano mimi kina gari inaitwa Toyota Duet, Vitz old model, Nadia, Gaia, Rav 4 old model, Fun cargo...haya magari mmhhh..kwa kweli hapana... yaani hata atokee mtu wa namna gani, hajanishawishi...
 
Hahah mzee baba hapo kwny rav 4 old model itabidi utuvumilie kidogo ila hizo nyingine zote ulizozitaja uko sawa 100% mkuu.
 
Kuna moja nilmesahau.. Inaitwa Toyota Porte....
Mmh. hii gari sijui wajapani waliwaza nini...[emoji23][emoji23]
Japo kuna mtu anaipenda kupindukia
 
Hahah Kuna muigizaji anaitwa mwijaku ndio gari yake hio,nilivyojua nilimuonaga bonge la zuzu.

Kwa mfano Pajero kwa kihispaniola is TO MASTERBATE.
Kuna moja nilmesahau.. Inaitwa Toyota Porte....
Mmh. hii gari sijui wajapani waliwaza nini...[emoji23][emoji23]
Japo kuna mtu anaipenda kupindukia
 
Unajua kuna kitu kinatwa kupenda au mtazamo..

Gari unalolipenda wewe, kuna mwenzio analiona ni kama guta...

Gari ni ka ma nguo..nguo unayoipenda wewe kuna mwenzi anaiona ni tambara la deki....

Gari ni kama mwanamke....mwanamke unayempenda wewe, ambaye umekufa kwake, umeoza...kuna mwenzako anamuona huyo mwanamke hana hadhi hata ya kuwa house girl wake..

Gari ni kama rangi....rangi unayoipenda wewe, kuna mwenzako anaiona ni yeboyebo..

Gari ni kama nyumba..nyumba yako unayoiona ya maana...kuna mwenzako anaiona ni tembe..

Ukishayafamu haya niliyoyasema, huwezi kumbeza mtu anayemiliki gari fulani...mtazamo wake, upendo wake na uwezo wake ndivyo vilivyomfanya amiliki gari fulani...

Haya ni mabo ya Kisaikolojia....waliosoma saikolojia nadhani wananielewa....hatuwezi kufanana...kinachoiteka akili yangu, hakiwezi kuiteka akili yako au akili ya mtu mwingine....

Mwisho, me naona ni bora zaidi mtu anapoomba ushauri juu ya gari fulani, tumshauri mambo ya kiufundi, ubora, spea na mengine yanayofanana na hayo...tusimkatishe tamaa kutokana na chaguo la moyo wake. ...

Watu wote ingekuwa tunafanana mitazamo, dunia isingekalika.
Heshima kwako mkuu[emoji119]
 
Hahah Kuna muigizaji anaitwa mwijaku ndio gari yake hio,nilivyojua nilimuonaga bonge la zuzu.

Kwa mfano Pajero kwa kihispaniola is TO MASTERBATE.
Uuuwii[emoji134][emoji134][emoji134]
Vitz, duet, Passo, yana maana gani kihispaniola
 
Wakuu, wataalamu wa magari naomba kufahamu kiundani kuhusu hii gari Nissan Juke ya 2011 ina 1490cc, kwanini Bei yake iko juu sana (23 Million) na wakati ina muonekano mdogo kama wa IST?View attachment 1189628
Huo muonekano wake mimi naupenda balaa, mkuu funguka tu gari iko safi hiyo
 
Sijawahi elewa hiyo gari
Hiyo gari ina injini HR 15 ambayo ndiyo imefungwa kwenye Nissan Tiida,Note, Wingroad, Ad Van na nyingine nyingi za cc 1490...
Hizi ni zile model za 2005 mpaka 2012..
Hii gari in CVT kama ilivyo Tiida, Note, Wingroad na nyinginezo ambazo nyingi zinatumia NS 2 cvt fluid.....ika Juke kuna zenye Extronic CVT...

Haya magari yote niliyoyataja hapa yanavaliana spea zote za injini, gear box, brake pads. cv joint, bearings...yaani zinavaliana kila kila kitu isipokuwa Vifaa vya body...

Yaani kwa kifupi Nissan Note, Tiida, Juke,Wingroad,Ad van, Baadhi ya Nissa Sunny, Nissan blue bird zile za cc 1490, zote hizi ni gari moja tofauti muundo wa body....

Hivyo kama umewahi kumiliki mfano Nissan Tiida, usiogope hizo zilizobaki kwenye hiyo list... though HR15 injini ya Juke ina muonekano wa tofauti kidogo na HR 15 ya Tiida au Note....lakini zinavaliana kila kitu...air filter, spark plug, ignition coil, sensors n.k

Uzuri wa magari ya Japani, unakuta model nyingi zinafanana sehemu nyeti, utofauti unakuwa kwenye muonekano wa body kwa nje na ndani..

So,Guys,,..
Kama unahitaji gari la kuendesha muda mrefu, ukifunga spea ni mkataba, Safari chache za garage, fun to drive,Comfortability, better performance.... karibu kwenye NISSAN, SUBARU, VW, BMW, BENZI...kumbuka magari haya yana Low resale value

Kama unahitaji gari linalouzika haraka, spea za bei rahisi ambazo huchoka mapema na kukufanya uende garage mara kwa mara, Common driving experience, good performance, comfortability nzuri kwenye injizi zinazoanzia 2.0L, No uniqueness yaani sare sare maua, Good resale value....Go for TOYOTA
 
X trail zimeshaanza kuwa common...spea zinapatikana kirahisi haswa kama upo miji ile mikubwa ila bei ya spea zake ni ghali...

Japo watu wengi wanaziponda hizi gari kuwa ni kimeo....Im not sure about that...ila nichofahamu gari lolote ni matunzo...

Kuna mtu ana x trail namba B imesimama vizuri na kuna mwenye Noah namba D, ukiitazama utasikia kichefuchefu...

Hii ina maana ukiwa mtunzaji na kuzingatia huduma stahiki, hakuna gari baya.
Mkuu hata Mimi hii gari ipo akilini mwangu.
Kama sio hii Basi mbadala wake ni rav 4 old model.
Mkuu kwa uzoefu wako unaonaje ukilinganisha Kati ya Rav 4 old model na Nissan x trail?ipi unanishauri nianze nayo kwani zite sijawahi kutumia
 
Kwa ninvyofahamu mimi Rav 4 ina uimara zaidi ikiwa inafungwa spea zake Genuine, Consumption yake ipo juu kidogo kwa zile zenye 3s engine...
Inahitaji matunzo mazuri pale nyuma ili isiweke yale matege, ikishaweka matege inakuwa na tabia mbaya ya kula tairi upande..Huwa ni 4WD full time ukiwa chini ya Speed 50 kama sikosei wanaozimiliki watanisahihisha kwenye hili...zina resale value nzuri endpo umeeamua kuuza...Inakupa option ya spea za bei rahisi na bei ghali,inaweza ikakufaa mkoa wowote kwa sanbabu ya upatikananji rahisi wa spea..

X trai kwa upande wa body si imara sana kama Rav 4, Ila ni comfortable zaidi, ina nafasi kubwa zaidi ndani, Mfumo wake 4WD unajitahidi sana kwenye tope na mara nyingi inakupa option ya kuchagua 2WD au 4WD, Spea zake ghali ila almost ni Genuine hivyo ukifunga unapata uhakika wa muda mrefu bila bughuza. Kama upo Dar, Arusha, Mwanza,Tanga..spea za Nissan siyo shida hata mikoa mingine zimeshaanza kusambaa sana..Hazina resale value nzuri kwa TZ .
Kuna myths kuwa zina chemsha....Nissan hazitaki maji ya bombani...tukumia coolant original..

Lastly, Rav4 na Extrail bado yote ni magari mazuri yanayohimili rough road na safar ndefu....gari ni matunzo....Pia chagua kitu moyo wako unapenda kulingana na mfuko wako...
 
Back
Top Bottom