Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Mi Vellar nayoitaka ina kodi ya 98m kwa hiyo nimekausha tu napaka rangi na hizi Toyota na Ford..Ila TRA ukiwafikiria unaona bora ukaushe tu kuagiza gari
Mi Vellar nayoitaka ina kodi ya 98m kwa hiyo nimekausha tu napaka rangi na hizi Toyota na Ford..Ila TRA ukiwafikiria unaona bora ukaushe tu kuagiza gari
Kodi pekee 98m bila kununua mkuu bei ya kaburu sijaweka hapo..Bora yako, mi Tesla tu Model 3 inasoma 70+ total, nusu kwa nusu wamegawana Mjapan na TRA.
Lipo Benz 505 cdi Sprinter inabeba abiria 35 nilienda mnadani nikalikuta bei nzuri la mwaka wa karibuni nikasema wacha nivimbe nalo hili baadae nikasema ngoja kwanza niwakague TRA daah inasoma 45m nikaliacha na huku nishalipia gharama za mnada nikaja kutumia kununua gari ingine..Bora yako, mi Tesla tu Model 3 inasoma 70+ total, nusu kwa nusu wamegawana Mjapan na TRA.
Dah kudadeq. Imagine ndio ushajazwa upepo umenunua kabisa au kama unaimport toka JP chuma ishaingia kwa meli unasoma digits unakuta ivyo,Lipo Benz 505 cdi Sprinter inabeba abiria 35 nilienda mnadani nikalikuta bei nzuri la mwaka wa karibuni nikasema wacha nivimbe nalo hili baadae nikasema ngoja kwanza niwakague TRA daah inasoma 45m nikaliacha na huku nishalipia gharama za mnada nikaja kutumia kununua gari ingine..
Mimi nawakagua sana hao jamaa hata gari nazoleta nyingi ni kwa kujua TRA watataka ngapi kwanza sio wateja maana ukiangalia wateja utaferi...LX Toyota SUV ipo inayotaka kodi 79m na ingine ni zaidi ya Tsh 50m wakati SA napata kwa 50m tu za 2013 kuendelea...huku wameweka kodi kubwa kwa magari imara na kodi ndogo kwa magari mabovu mabovu..Dah kudadeq. Imagine ndio ushajazwa upepo umenunua kabisa au kama unaimport toka JP chuma ishaingia kwa meli unasoma digits unakuta ivyo,
Rudia hapo mkuuMimi nawakagua sana hao jamaa hata gari nazoleta nyingi ni kwa kujua TRA watataka ngapi kwanza sio wateja maana ukiangalia wateja utaferi...LX Toyota SUV ipo inayotaka kodi 79m na ingine ni zaidi ya Tsh 50m wakati SA napata kwa 50m tu za 2013 kuendelea...huku wameweka kodi kubwa kwa magari imara na kodi ndogo kwa magari mabovu mabovu..
Land Cruiser kodi kubwa magari mbovu mbovu kodi ndogo tupo busy na magari yanayosumbua kila mara hata Toyota Gd 6 hizi zipo kodi juu..Rudia hapo mkuu
Unawaandikia email hafu hawajibu wala nn. Ila ukienda ofisini kwao wanakupigia hesabu na wanaiweka. Risk move kuagiza kabla haujaenda.Hivi mguu, BYD dolphin, TRA wanahitaji kiasi gani, kwenye mfumo wao wa calculator, hakuna BYd
Jamaa wakomoaji Sana,Ila TRA ukiwafikiria unaona bora ukaushe tu kuagiza gari