Car4Sale Nissan Murano

Car4Sale Nissan Murano

Joined
May 23, 2018
Posts
70
Reaction score
19
Nissan Murano
Year---2004
Engine capacity----2480cc
Drive---2wd
Grade----250xl
Seat---5
Fuel---petrol
Other option---AW RR FOG HID NV P-SEAT S-SWITCH
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
BEI----15.5mil
(Unaweza kufanya malipo Mara mbili)
Malipo ya kwanza-----7mil
[emoji338][emoji336]0715558258
01%20(64).jpeg
02%20(45).jpeg
03%20(48).jpeg
IMG_20181123_124943_115.jpeg
08%20(25).jpeg
 
Very serious! Milioni 15 ni hela nyingi sana. Unapata gari nzuri na kubwa kuliko hako.
Unaweza kupata gari kubwa na zuri lakini sio Toyota Land Cruiser hata kama ni toleo la miaka zaidi ya 15 iliyopita
 
Unaweza kupata gari kubwa na zuri lakini sio Toyota Land Cruiser hata kama ni toleo la miaka zaidi ya 15 iliyopita
Hata hiyo Nissan Murano ni ya mwaka 2004. Ina miaka 14! Sasa gari ya miaka 14 iliyopita ndio inauzwa milioni 15? This is not true......
 
Hata hiyo Nissan Murano ni ya mwaka 2004. Ina miaka 14! Sasa gari ya miaka 14 iliyopita ndio inauzwa milioni 15? This is not true......
Kwa Nissan Murano hiyo bei ni nzuri tu lakini sio kwa Land Cruiser kama ulivyosema. Embu ipe heshima yake mkuu
 
Back
Top Bottom