Car4Sale Nissan Patrol Bei Poa


Daaaaaaaaaah...
Ilikuwa na ulazima kweli hiyo?
 

Kama vp tuvunje na brevis rangi ya maroon namba dcj
 
Kama vp tuvunje na brevis rangi ya maroon namba dcj

Kuvunja ndio nini? jamani taratibu hizi lugha maana mimi ki kawaida si muuzaji wa magari. Naomba nifafanulie tafadhali.
 
Kuvunja ndio nini? jamani taratibu hizi lugha maana mimi ki kawaida si muuzaji wa magari. Naomba nifafanulie tafadhali.

I mean nikupe brevis na tumshiko tudogo tumalizane bibie
 
Nissan patrol, Manual Gear, Diesel, TD - F intercooler, engine RD 28 Model. Year 1999

Leather seats, very good condition.

Bei 23M Only.

Very Good Condition. Haijatumika Tanzania.

Call Mzee Abdul 0756803528.

Achaga urongo!! kwani hapo ilipo imeshushwa kwa ndege? tena kuna mdau kasema ni Buguruni kabisa!
 
Duh! Mbona huwa mnaheshimiana sana na Zainab Tamim !!!

Usijali. Huyo Bi Zainab, mimi na yeye ni dam dam.

She is an amazing woman ana amazing product, umeiona? She is a very hard working woman, she has all my respect and I love he so much.

Bi Zainab ni mfano wa kuigwa kwa akina mama, kwa age yake na jinsi anavyojituma, she is simply amazing.
 
Achaga urongo!! kwani hapo ilipo imeshushwa kwa ndege? tena kuna mdau kasema ni Buguruni kabisa!

Kwa hiyo ikiwa Buguruni imepigwa picha ime park ndiyo imetumika Tanzania?

For your information, nimeuliza waliipiga wapi, hapo si Buguruni.

Hajashushwa na ndege, imekuja kwa meli na kama kuitoa bandarini na kuifikisha destination yake wewe ndio unachukulia kuwa imetumika basi umeshinda. Mimi nilimaanisha vingine kabisa kwa kusema haijatumika Tanzania naona wapo waliponielewa.

Pole sana kama niliku mislead na nisamehe sana kama unahisi nimesema uongo si kawaida yangu.
 

Nimekupenda bure kwa jinsi ulivyojibu kiustaarabu, sema natumia simu ila ningekugongea like!! Hongera kwa busara! nilitaka upanic kidogo kama bibi F*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…