Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya bibi wewe, mbona hujanieleza kama una gari unauza?
Au umeona sifai kununuwa hilo shangingi?
Roho ya ubinafsi inawasumbua sana CCM,
Hapo hujaridhika, ulitaka hadi ukaribishwe pre- advertising dinner & dance!
Msiishi kwa mazoea Tanzania inakwenda kubadilikia Oct!
Naona mitaa ya buguruni hapo.
Roho ya ubinafsi inawasumbua sana CCM,
Hapo hujaridhika, ulitaka hadi ukaribishwe pre- advertising dinner & dance!
Msiishi kwa mazoea Tanzania inakwenda kubadilikia Oct!
CC ngapi?
CCM inakukera kweli, mpaka huku jukwaa la matangazo umeshindwa kujizuwia? Amma kweli CCM si mchezo.
Njoo jukwaa la siasa wawache watu wafanye biashara zao huku, au kama una pesa nunuwa hilo shangingi likakusaidie kwenye kampeni, la huna limezee mate tu kimya kimya.
Punguani wahed.
We bibi, mpaka huku wanakufata.
Haya bibi wewe, mbona hujanieleza kama una gari unauza?
Au umeona sifai kununuwa hilo shangingi?
Sijui mwanangu kazipigia wapi hizi picha.
Hata sielewi lakini unaweza kutafuta namba za aina ya injini ni hizi: Diesel, TD - F intercooler, engine RD 28 Model.
Wewe unae uza kwanini usitafute na uweke full details.?
Kumbe ni dealer.
Mimi hata hiyo cc sielewi maana yake. Utanisamehe sana.
Mnfssssss Hela ya ugoro inakushinda utanunua gari weye??
Acha kujitutumua fukara tu wewe....