Nissan patrol(black panther)

Hizi mashine zote zinatoka na injini ya Petrol hakuna zenye injini ya Diesel.
Hizi zipo chache ukilinganisha na Land Cruiser series 200 V8, mjini bado yanaoneka kwa wachache.
Ahaa, liko njema sana hata ile luxury version yake INFINIX alivimbaga nayo RC kwenye msiba wa hayati mzee mengi. Mashine yamoto sana.
 
Utani huu, masaa 3 labda chopa ila sio gari kwa barabara hizi.
Unaweza vip kukimbia 180 kwa matuta yote hayo njian na vizuizi vya trafik?
Ila mbona kuna mwanangu anatokaga Morogoro - Moshi in exact 6 hours. Kutoka ni saa 9 usiku huwa ananyooka na Brevis yake ila juzi alichomoka na 2008 Crown zile mayai zinazoitwa new model jiko ni 3GR!

Speed Mshale saa 1 yuko Moro!
 
Mzee anayo dough,nimemuona jana rafiki yake Rostam ametoa bil 1 kuchangia Corona.
 
Kuna Toleo lake la infinit kama ile Bashite alikiwa anaringa nayo kwenye msafara wa msiba wa Mzee Mengi....
Wacha wenye pesa wafaidi dunia...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu kubwa Ni ubovu na ufinyu wa barabara..Sauzi na maeneo mengine hayo Mambo ya ajali za ajabu ajabu Ni machache coz barabara ni Pana na Ni one way direction. Nakuna sehem wanakuandikia kabisa speed limit Ni 120kph
 
Below 100 kph labda hunu mjini ambapo wakati mwingine hiyo 100huwa inafika..sasa uende Mwanza na speed below 100 si utatumia week.
 
Gari yeyote ikiwa nzima haiwez kukulaza..ikiwa kimeo ata hiyo nissan lazima ulale
ILa kuna tofauti kubwa mfano reliability ya Nissan patrol y60 ama Land Cruiser huwezi kulinganisha na SUV za muingereza mf. Ranger Rover ama Discovery.
Kuna gari unatoka nayo nzima kabisa ila ukiipiga mzigo kidogo tu inakulaza njiani
 
dah sie wengine wapenzi wa subaru tumeshakuwa machizi juzi nmetoka nayo moro kwenye saa 7 usiku mpka 9;30 nipi nyumbani,mzee alinipa risala zote basi toka juzi nmeipaki nyumbani napanda dala dala maana mzee nilimpigia simu nakuja ndo nmetoka akajua ntafika saa 1 kustuka napiga honi nje kilichofata ni kilio[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…