Nissan patrol(black panther)

Nissan patrol(black panther)

Hizi mashine zote zinatoka na injini ya Petrol hakuna zenye injini ya Diesel.
Hizi zipo chache ukilinganisha na Land Cruiser series 200 V8, mjini bado yanaoneka kwa wachache.
Ahaa, liko njema sana hata ile luxury version yake INFINIX alivimbaga nayo RC kwenye msiba wa hayati mzee mengi. Mashine yamoto sana.
 
Utani huu, masaa 3 labda chopa ila sio gari kwa barabara hizi.
Unaweza vip kukimbia 180 kwa matuta yote hayo njian na vizuizi vya trafik?
Ila mbona kuna mwanangu anatokaga Morogoro - Moshi in exact 6 hours. Kutoka ni saa 9 usiku huwa ananyooka na Brevis yake ila juzi alichomoka na 2008 Crown zile mayai zinazoitwa new model jiko ni 3GR!

Speed Mshale saa 1 yuko Moro!
 
Mzee Lowasa 2015 kwenye kampeni za uraisi alitumia hizi Nissan kama 10 zilikuwa zinamfata anakoenda.

Niliziona zinavyopita njia ya Sumbawanga kwenda Mpanda ile njia kabla haijawekwa lami, zina balaa tulipaki pembeni kuangalia zikipita kibabe.

Licha ya kupiga kazi nzito kipindi like kuna moja naiona anatumia mtoto wake na ikipita lazima watu mgeuke kuangalia mashine.
Mzee anayo dough,nimemuona jana rafiki yake Rostam ametoa bil 1 kuchangia Corona.
 
Mzee Lowasa 2015 kwenye kampeni za uraisi alitumia hizi Nissan kama 10 zilikuwa zinamfata anakoenda.

Niliziona zinavyopita njia ya Sumbawanga kwenda Mpanda ile njia kabla haijawekwa lami, zina balaa tulipaki pembeni kuangalia zikipita kibabe.

Licha ya kupiga kazi nzito kipindi like kuna moja naiona anatumia mtoto wake na ikipita lazima watu mgeuke kuangalia mashine.
Kuna Toleo lake la infinit kama ile Bashite alikiwa anaringa nayo kwenye msafara wa msiba wa Mzee Mengi....
Wacha wenye pesa wafaidi dunia...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are right..
Lakini imagine unasikia msela mwenye miaka 28 mfano alikuwa anaendesha passo 160 kph akaparamia uvungu wa fusso....

Hicho kifo ni cha kizembe..
Ahadi ya Mungu ni miaka 70 mapak 80

Takwimu za haraka haraka zinaonyesha kila private car 10 zinazopata ajali, 9 zinaendeshwa na vijana na kisababishi ni mwendokasi..
Anyway tumetoka nje ya mada lakini tunapeana tu ushauri.
Sababu kubwa Ni ubovu na ufinyu wa barabara..Sauzi na maeneo mengine hayo Mambo ya ajali za ajabu ajabu Ni machache coz barabara ni Pana na Ni one way direction. Nakuna sehem wanakuandikia kabisa speed limit Ni 120kph
 
Nice challenge..
Lakini mwisho wa siku vijana tukumbushane mwendo kasi ni sababu moja wapo ya sababu kuu zinazotupeleka kaburini mapema..

they say, if you drive below 100 kph, you are more likely to survive on car accident than driving above 100 kph..

Turudi kwenye mada sasa..
Binafsi nissan patrol nazipenda sana[emoji16][emoji16] regardless speed
Below 100 kph labda hunu mjini ambapo wakati mwingine hiyo 100huwa inafika..sasa uende Mwanza na speed below 100 si utatumia week.
 
Gari yeyote ikiwa nzima haiwez kukulaza..ikiwa kimeo ata hiyo nissan lazima ulale
ILa kuna tofauti kubwa mfano reliability ya Nissan patrol y60 ama Land Cruiser huwezi kulinganisha na SUV za muingereza mf. Ranger Rover ama Discovery.
Kuna gari unatoka nayo nzima kabisa ila ukiipiga mzigo kidogo tu inakulaza njiani
 
dah sie wengine wapenzi wa subaru tumeshakuwa machizi juzi nmetoka nayo moro kwenye saa 7 usiku mpka 9;30 nipi nyumbani,mzee alinipa risala zote basi toka juzi nmeipaki nyumbani napanda dala dala maana mzee nilimpigia simu nakuja ndo nmetoka akajua ntafika saa 1 kustuka napiga honi nje kilichofata ni kilio[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
IMG-20200407-WA0164.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom