Nissan X-Trail mpya

Uko vizuri jamaa, inaonekana unaijua biashara yako vizuri. Hiyo Axis ni tofauti sana na picha alizoweka jamaa lakini naona pia bado watu wengi hatujui sana kuhusu grade za hayo magari ya Japan, ningependa uweke somo hapa hata kwa ufupi kuhusu grades za magari hayo ya Japan.
 
Kuna mpemba ntakuunganisha nae utapata tu bure
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Uko sawa Mkuu,Bei hiyo ni ya kawaida.

Wengi wanakosa "adabu" ya utunzaji na service ya huyo mdudu Nissan.

Halitaki spare za mawazo.Mimi ninaye huyo kiumbe kwa miaka mingi..mwenye swali lolote uliza tubadilishane mawazo.

Mkuu nisaidie swala moja tu, kwa anaetaka kuinunua hasa mikononi. Nini cha kuzingatia kwenye ukaguzi pia kama utaweza share na wanajamvi mafundi wenye uzoefu nazo wanapopatikana garage zao itakua inapendeza zaidi.
 

Natamani kumiliki Xtrail AXIS, kwa bajeti ya 11mil naweza kupata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…