Nissan X-Trail mpya

Nissan X-Trail mpya

Naomba nikueleweshe kidogo..

1. Watu hawaagizi magari kuja kuuza kwa gharama ya kuagizishia. Naweza nikaagiza hata kwa 9m nikauza 15m yote ni biashara.

2. Gari ya 1999 inaweza kuizidi bei gari ya 2003 sababu ya vitu vingi sio mwaka tu. Mileage na grade ya gari mnadani inaweza kuwa aspect ya price difference.

3. Kuna Nissan Xtrail za kawaida na Nissan Xtrail ambayo ni AXIS model. Sasa naomba uende mitandao yote ya Japan katafute AXIS yenye cheapest CIF ambayo ni below 100,000km mileage alafu njoo tukokotoe jumla ya gharama ikoje. Nataka tufanye hizo hesabu publicly hapa mana humu JF wajuaji mko wengi sana.
Uko vizuri jamaa, inaonekana unaijua biashara yako vizuri. Hiyo Axis ni tofauti sana na picha alizoweka jamaa lakini naona pia bado watu wengi hatujui sana kuhusu grade za hayo magari ya Japan, ningependa uweke somo hapa hata kwa ufupi kuhusu grades za magari hayo ya Japan.
 
Kuna mpemba ntakuunganisha nae utapata tu bure
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Uko sawa Mkuu,Bei hiyo ni ya kawaida.

Wengi wanakosa "adabu" ya utunzaji na service ya huyo mdudu Nissan.

Halitaki spare za mawazo.Mimi ninaye huyo kiumbe kwa miaka mingi..mwenye swali lolote uliza tubadilishane mawazo.

Mkuu nisaidie swala moja tu, kwa anaetaka kuinunua hasa mikononi. Nini cha kuzingatia kwenye ukaguzi pia kama utaweza share na wanajamvi mafundi wenye uzoefu nazo wanapopatikana garage zao itakua inapendeza zaidi.
 
Naomba nikueleweshe kidogo..

1. Watu hawaagizi magari kuja kuuza kwa gharama ya kuagizishia. Naweza nikaagiza hata kwa 9m nikauza 15m yote ni biashara.

2. Gari ya 1999 inaweza kuizidi bei gari ya 2003 sababu ya vitu vingi sio mwaka tu. Mileage na grade ya gari mnadani inaweza kuwa aspect ya price difference.

3. Kuna Nissan Xtrail za kawaida na Nissan Xtrail ambayo ni AXIS model. Sasa naomba uende mitandao yote ya Japan katafute AXIS yenye cheapest CIF ambayo ni below 100,000km mileage alafu njoo tukokotoe jumla ya gharama ikoje. Nataka tufanye hizo hesabu publicly hapa mana humu JF wajuaji mko wengi sana.

Natamani kumiliki Xtrail AXIS, kwa bajeti ya 11mil naweza kupata?
 
Back
Top Bottom