Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Mshamba wa magar wewe huna lolote.Hizi gari ni ugonjwa wa moyo, asipokuwa makini atakuja kuuza kwa 7m
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshamba wa magar wewe huna lolote.Hizi gari ni ugonjwa wa moyo, asipokuwa makini atakuja kuuza kwa 7m
Nissan Xtrail is the cheapest SUV. Hasa hapa Tz. Maana wabongo wamekariri Toyota tu ndyo gar.Gari za Nissan hazijawahi kuwa na bei sana
Uko vizuri jamaa, inaonekana unaijua biashara yako vizuri. Hiyo Axis ni tofauti sana na picha alizoweka jamaa lakini naona pia bado watu wengi hatujui sana kuhusu grade za hayo magari ya Japan, ningependa uweke somo hapa hata kwa ufupi kuhusu grades za magari hayo ya Japan.Naomba nikueleweshe kidogo..
1. Watu hawaagizi magari kuja kuuza kwa gharama ya kuagizishia. Naweza nikaagiza hata kwa 9m nikauza 15m yote ni biashara.
2. Gari ya 1999 inaweza kuizidi bei gari ya 2003 sababu ya vitu vingi sio mwaka tu. Mileage na grade ya gari mnadani inaweza kuwa aspect ya price difference.
3. Kuna Nissan Xtrail za kawaida na Nissan Xtrail ambayo ni AXIS model. Sasa naomba uende mitandao yote ya Japan katafute AXIS yenye cheapest CIF ambayo ni below 100,000km mileage alafu njoo tukokotoe jumla ya gharama ikoje. Nataka tufanye hizo hesabu publicly hapa mana humu JF wajuaji mko wengi sana.
hahahaha una nini? huenda ukafikiriwamm naihitaji ila sina pesa..
mm naitaka hiyo ya kwakoKuna mpemba ntakuunganisha nae utapata tu bure
nina leseni ya udeleva tu.hahahaha una nini? huenda ukafikiriwa
una chura? kama lipo embu njoo pm tuzungumzie suala lakonina leseni ya udeleva tu.
[emoji15]una chura? kama lipo embu njoo pm tuzungumzie suala lako
kwamba[emoji15]
sina chura nina mikono na miguu ndio itakayotumika kuendesha..kwamba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kuna mpemba ntakuunganisha nae utapata tu bure
haha haya mamalaosina chura nina mikono na miguu ndio itakayotumika kuendesha..
Uko sawa Mkuu,Bei hiyo ni ya kawaida.Gari za Nissan hazijawahi kuwa na bei sana
Uko sawa Mkuu,Bei hiyo ni ya kawaida.
Wengi wanakosa "adabu" ya utunzaji na service ya huyo mdudu Nissan.
Halitaki spare za mawazo.Mimi ninaye huyo kiumbe kwa miaka mingi..mwenye swali lolote uliza tubadilishane mawazo.
Naomba nikueleweshe kidogo..