sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,988
- 4,152
Kwa hiyo jamaa anataka udalali ili atupige au, we jamaa nawe wa kutilia shaka bila ushahidi ....sasa ivi gari za Nissan extrail zimeshuka sana bei, kuagiza mpaka mkononi ni chini ya mil.12 tena hadi za mwaka 2005, hyo yako ya 2003 naweza kukuletea mpaka mlangoni kutoka japan kwa mil.11 tu sasa iweje ww uuze mil.14.5??? sheer ignorance??
Nasikia Nissan tatizo ni spare zake ni shida, spare zao nyingi ni genuine kiasi kuwa wabongo malofa wa kuunga unga can't afford to buy it!Nissan Xtrail is the cheapest SUV. Hasa hapa Tz. Maana wabongo wamekariri Toyota tu ndyo gar.
Umegundua kitu pia ee? Ndiyo raha ya JF. Akija mtu na ujanja anawakuta humu zaidi yakeKwa hiyo jamaa anataka udalali ili atupige au, we jamaa nawe wa kutilia shaka bila ushahidi ....
Unabadilisha oil kwa km ngpUko sawa Mkuu,Bei hiyo ni ya kawaida.
Wengi wanakosa "adabu" ya utunzaji na service ya huyo mdudu Nissan.
Halitaki spare za mawazo.Mimi ninaye huyo kiumbe kwa miaka mingi..mwenye swali lolote uliza tubadilishane mawazo.
Hakuna golden rule...ila.zingatiaUnabadilisha oil kwa km ngp
Mbona Tunaambiwa tuzingatie km..??Hakuna golden rule...ila.zingatia
- Aina ya oil na ubora (as per manual ya gari
-Matumizi ya gari say long route au town trips
Oil inachoka kwa sababu nyingi unaweza km zisifike ila.kwa hali ya joto ikawa viscosity ya oil imeshachoka...kwa maana ingine km ulizoandikiwa sio lazima zifike.Mbona Tunaambiwa tuzingatie km..??
Mimi natumia Oil ya Total 5W-30 this is as per manual ya gari
Route za town na masafa ya mkoa vimechanganyika
Ushauri