Nissan X-Trail mpya

Nissan X-Trail mpya

sasa ivi gari za Nissan extrail zimeshuka sana bei, kuagiza mpaka mkononi ni chini ya mil.12 tena hadi za mwaka 2005, hyo yako ya 2003 naweza kukuletea mpaka mlangoni kutoka japan kwa mil.11 tu sasa iweje ww uuze mil.14.5??? sheer ignorance??
Kwa hiyo jamaa anataka udalali ili atupige au, we jamaa nawe wa kutilia shaka bila ushahidi ....
 
Nissan Xtrail is the cheapest SUV. Hasa hapa Tz. Maana wabongo wamekariri Toyota tu ndyo gar.
Nasikia Nissan tatizo ni spare zake ni shida, spare zao nyingi ni genuine kiasi kuwa wabongo malofa wa kuunga unga can't afford to buy it!
Nina Mitsubishi mini can spare hadi niagize japan
 
Uko sawa Mkuu,Bei hiyo ni ya kawaida.

Wengi wanakosa "adabu" ya utunzaji na service ya huyo mdudu Nissan.

Halitaki spare za mawazo.Mimi ninaye huyo kiumbe kwa miaka mingi..mwenye swali lolote uliza tubadilishane mawazo.
Unabadilisha oil kwa km ngp
 
Hakuna golden rule...ila.zingatia
- Aina ya oil na ubora (as per manual ya gari
-Matumizi ya gari say long route au town trips
Mbona Tunaambiwa tuzingatie km..??
Mimi natumia Oil ya Total 5W-30 this is as per manual ya gari
Route za town na masafa ya mkoa vimechanganyika

Ushauri
 
Mbona Tunaambiwa tuzingatie km..??
Mimi natumia Oil ya Total 5W-30 this is as per manual ya gari
Route za town na masafa ya mkoa vimechanganyika

Ushauri
Oil inachoka kwa sababu nyingi unaweza km zisifike ila.kwa hali ya joto ikawa viscosity ya oil imeshachoka...kwa maana ingine km ulizoandikiwa sio lazima zifike.


Gari lako limeshatembea km ngapi? Maana oil.recommended inaweza kubadilika kutokana na odometer yako ie xtrail mpya huwezi tumia oil ya viscocity sawa na xtrail ambayo imeshatembea km 90,0000

Mimi nina gari natumia 5w 30 na lingine 10w 40..hapa moja lina engine ya km nyingi zaidi ya lingine na ni as per kitaalamu kua old cars tunatumia ambayo ni thick.


Kwahiyo 5w 30 you can go up to 10,000 ila usifanye hivyo kwa usalama wa gari lako..

Mimi namwaga oil.always kabla ya km kutimia
 
Back
Top Bottom