Nissan xtrail 2500cc inakula sana mafuta

Nissan xtrail 2500cc inakula sana mafuta

What did you expect 2500 cc 6 Cylinder?🙄🙄🙄

Tafuta 4 cylinder yako cc 900 mpaka 1200 fresh.

Afu hapo pa taa ya check engine, kwanini uliamua kuongeza wese na hiyo taa haihusu wese?
Ila watz tunalalamika jamani!

Ifike hatua mtu nunua pikipiki tu kuliko hii mtu una gari ila huishi kulalama mafuta
 
Back
Top Bottom