Nissan Xtrail: mafuta, spea?

Nissan Xtrail: mafuta, spea?

Spare zipo available ila bei kubwa tofauti na Toyota, hata hivyo ukifunga unasahau!

Ulaji wa Mafuta utainjoi sana!

Nilipokuwa nahama toka Toyota kwenda Nissan watu walinitisha sana, mara spares adimu, mara gari zinasumbua etc; lakini kwa sasa sijui kama nitarudi Toyota, labda niwe nazo zote!
Asantee
 
Boeing 747 ni bora ungaekaa kimya. Ukiwa na Nissan Arusha ukalalamika spea utakuwa mvivu wa kufikiri. Nissan Note zipo tele Nairobi na ndiyo maana hupati shida. No sawa sawa na familia kudai haina watoto wakati wewe unao. Usivimbirwe Mkuu.

Mkoani ni neno pana na kama wewe unajiona haupo mkoani tulia na Nissan Note.

Mkoani kwangu ni Kigoma, Tabora, Mtwara, Singida na kadhalika. Hebu tuelekeze maduka katika hayo maeneo.
Sisi tunazo huku unskokuita mikoani na tunadunda nazo ile mbaya. Spea ni kama kawaida ya magari yote. Ukiikosa mji huu unaulizia mji mwingine wa karibu. Ukikosa huko unapiga simu Dar unatumiwa kwa Bus. Ni wewe tu.
 
Sisi tunazo huku unskokuita mikoani na tunadunda nazo ile mbaya. Spea ni kama kawaida ya magari yote. Ukiikosa mji huu unaulizia mji mwingine wa karibu. Ukikosa huko unapiga simu Dar unatumiwa kwa Bus. Ni wewe tu.
Mkuu,kigoma ni sehemu gani wanakofanyia diagnosis ya magari?
 
Plug tu za Nissan Note ni pasua kichwa. Plug tu. Utapigwa mpaka 180,000 kwa plug nne.

Ukitaka kumwaga oil ya gear box oil lazima uwe na 190,000 au zaidi. Hizi sio hela ndogo.

Coil moja ya plug sio chini ya elfu 70.
Spea sio kwamba unanunua kila siku mkuu hivyo ukinunua gari jipange kwenye spea pia
 
Acha uongo..
Ninamiliki hii nisswn mwaka wa nne huu...plug nne original kwa hapa arusha ni 140000...hii gari nimewahi kubadili plug mara moja tu kwa hiyo nlmiaka minne...angelikuwa ni mtu wa toyota anafunga plug za buku tano tano angeshabadili mara ngapi???

Oil ya gia boksi ya note ni NS 2 cvt kwa arusha ni 140000 na ukiweka ni mkataba wa kuanzia KM 10000.
Kumbukq hizi ni bei za arusha..ina maanq Dar bei itakuwa chininzaidi na spea zote hizi ni original.

Coil ya Nissan note ni ghali kwa sababu cylinder ina coil yake na nilichogundua watu wenye magari yenye coil kama hizi hatuchekani bei...iwe toyota suzuki ..nissan au kampuni zinginezo...

Hatabspea original zq toyota ni ghala kama hizo za nissan..
ndiyo maana watu wenye nissan ukifunga spea fundi analia coz anajua kurudi kwake si chini ya miaka miwili..
narudia Nissan hii nina miaka nayo minne plug nimebadili mara moja tu...
Muulize mtu wa corolla kama kwenye buti la gari hana kibegi kilichojaa maplug
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom