Nissan Xtrail: mafuta, spea?

Nissan Xtrail: mafuta, spea?

Hivi Mtwara kunakuwaje Mkoani kwa mfano? Sehemu yenye usafiri kila baada ya saa 1 kuna basi linatoka yaani saa 12,saa 1,2 3.... hadi saa 8! Unaagiza spea unapakiliwa, siku hiyo hiyo unaipata. Huko ni kupotosha.
Tukija kwenye mada kuu,Nissan spea zipo,bei imeshiba kidogo ila nyingi ni original. Kipekee baada ya kuchoka Toyota,sasa nafikiria magari matatu,ila sijaamua kati ya Forester Subaru(2005-2007), Ford Escape/Mazda Tribute(2005-2007) au Xtrail
Umenena vyema...me mwenyewe npo arusha ila mtwara nimeishi mwaka mzima...usafiri upo...
unakuta mtu ameagiza gari japan kavumilia miezi miwili au hata mitatu....halafu mtu huyo huyo anashindwa kuvumilia siku moja au mbili kuagiza spea Dar au miji mingine mikubwa .

huu ni ufinyu wa fikra..

Mtanzania wa leo ukimwambia nata gari atakujibu nunua toyota..sababu yake ya msingi atakujibu spea ni rahisi.

Dunia ni utamdawazi siku za leo kama mtu ana pesa zake anunue gari ambalo moyo wake uanalipenda.
 
Ni kweli tupu mkuu. Unanua kitu roho inataka. Mara gari kula mafuta mara spea, hizo ni sababu ambazo kwa mnunuz wa gar lazima aweke akilini. Gari hutumia mafuta,gari hupata hitilafu hivyo spea ni lazima. Mtu ajikune pale anapofika,ila siyo kukatishana tamaa.
 
2WD gari inakuwa moved na tairi za mbele tu!
AUTO gari inakuwa moved either na tairi za mbele au mbele na za nyuma kwa pamoja kutegemea na mazingira ya njia na speed!
LOCK gari inakuwa commanded kusukumwa na tairi zote muda wote!
Dah ubarikiwe sana kwa jibu mujarabu!
 
Nissan ni nzuri, ila spare na Mafundi wanaozijua vizuri ni wachache pia Nissan ni ndoa ya kikristo, ukinunua ni ngumu kuuza
 
Nissan ni nzuri, ila spare na Mafundi wanaozijua vizuri ni wachache pia Nissan ni ndoa ya kikristo, ukinunua ni ngumu kuuza

Ohoooo...problemee nyingine za wabongo hizoooo...oooh nissan ni ndoa za kikristo.

kwanza tuelewe jambo moja vipato vyetu vinatofautiana na pia hatufanani mitazamo..

wewe unaponunua gari ili liuzike kuna mwenzako hana hizo shida yeye ananunua gari ili atumie.

magari ni kama wanawake...we unapowaza kuwa na mwanamke ili umtumie kisha umwache...kuna mwanaume mwenzako anawaza kuwa na mwanamke ili amuoe..

me nina nissan note mwaka wa nne huu na sina mpango wa kuiuza leo wala kesho...baadhi walinikatisha tamaa haitengeneki mara haiuziki...
Jibu langu ni simple sijanunua ili niuze...nimenunua ili nitumie...spea zake hapa arusha zipo za kutosha uwe tu na salio
 
Kipekee baada ya kuchoka Toyota,sasa nafikiria magari matatu,ila sijaamua kati ya Forester Subaru(2005-2007), Ford Escape/Mazda Tribute(2005-2007) au Xtrail[/QUOTE]
Go for Xtrail hutajuta 1. SUV-ipo juu 2. Mafuta kiasi 3. Spea zinapatikana.
 
Vuta FUGA mzee baba tena ile black, ngoma imevimba kama inataka kupaa vile.
 
Wazee wa Nissan nyeupe nao watatoa maoni yao, ingawaje haikuwa Xtrail lakini ni make ile ile.
 
Ohoooo...problemee nyingine za wabongo hizoooo...oooh nissan ni ndoa za kikristo.

kwanza tuelewe jambo moja vipato vyetu vinatofautiana na pia hatufanani mitazamo..

wewe unaponunua gari ili liuzike kuna mwenzako hana hizo shida yeye ananunua gari ili atumie.

magari ni kama wanawake...we unapowaza kuwa na mwanamke ili umtumie kisha umwache...kuna mwanaume mwenzako anawaza kuwa na mwanamke ili amuoe..

me nina nissan note mwaka wa nne huu na sina mpango wa kuiuza leo wala kesho...baadhi walinikatisha tamaa haitengeneki mara haiuziki...
Jibu langu ni simple sijanunua ili niuze...nimenunua ili nitumie...spea zake hapa arusha zipo za kutosha uwe tu na salio
Mimi naomba tu mnisaidie maduka ambayo yanauza hizo European spare parts kwa jiji la dar es salaam Nina shida nazo sana hata kama kuna mtu ana no ya wahusika mnisaidie ila awe anauza jumla jumla
 
Wakuu bado sijafanya maamuzi gari gani ninunue mpaka sasa ila nimekutana na Xtrail ya 2007....66000kms, 1990cc je spea na ulaji wa mafuta upoje? Bei 3000usd cif tra 6.9m tsh...mazagazaga mengine ni kama 1.5m= total 15m.
Hivi kodi za Tra zimepungua? Mbona mimi kuna haka ka suzuki nakapigia hesabu kodi inakuja milioni saba? Halafu hiyo xtrail unasema kodi ni mil 6 how?
 
Back
Top Bottom