Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Umenena vyema...me mwenyewe npo arusha ila mtwara nimeishi mwaka mzima...usafiri upo...Hivi Mtwara kunakuwaje Mkoani kwa mfano? Sehemu yenye usafiri kila baada ya saa 1 kuna basi linatoka yaani saa 12,saa 1,2 3.... hadi saa 8! Unaagiza spea unapakiliwa, siku hiyo hiyo unaipata. Huko ni kupotosha.
Tukija kwenye mada kuu,Nissan spea zipo,bei imeshiba kidogo ila nyingi ni original. Kipekee baada ya kuchoka Toyota,sasa nafikiria magari matatu,ila sijaamua kati ya Forester Subaru(2005-2007), Ford Escape/Mazda Tribute(2005-2007) au Xtrail
unakuta mtu ameagiza gari japan kavumilia miezi miwili au hata mitatu....halafu mtu huyo huyo anashindwa kuvumilia siku moja au mbili kuagiza spea Dar au miji mingine mikubwa .
huu ni ufinyu wa fikra..
Mtanzania wa leo ukimwambia nata gari atakujibu nunua toyota..sababu yake ya msingi atakujibu spea ni rahisi.
Dunia ni utamdawazi siku za leo kama mtu ana pesa zake anunue gari ambalo moyo wake uanalipenda.