Nissan Xtrail: mafuta, spea?

Asantee
 
Sisi tunazo huku unskokuita mikoani na tunadunda nazo ile mbaya. Spea ni kama kawaida ya magari yote. Ukiikosa mji huu unaulizia mji mwingine wa karibu. Ukikosa huko unapiga simu Dar unatumiwa kwa Bus. Ni wewe tu.
 
Mkuu,kigoma ni sehemu gani wanakofanyia diagnosis ya magari?
 
Plug tu za Nissan Note ni pasua kichwa. Plug tu. Utapigwa mpaka 180,000 kwa plug nne.

Ukitaka kumwaga oil ya gear box oil lazima uwe na 190,000 au zaidi. Hizi sio hela ndogo.

Coil moja ya plug sio chini ya elfu 70.
Spea sio kwamba unanunua kila siku mkuu hivyo ukinunua gari jipange kwenye spea pia
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…