Wakubwa mtakumbuka hapo juzi niliwandikia kuhusu xtrail yangu kushtuka shtuka ikikfika rpm ya 40 kwenda 60 hapo n mkanishauri kuwa tafuta plug og na kuna member aliniambia kuna jamaa wanaitwa gathani to limited nikaongea nao , kwanza kabla ya kuongea nao nikangalia plug ambazo zilitoka na gari japan maana nilizitunza zinaitwa iridium DF6-11B nikawauliza kama wanazo na wakadai wanazo , hivyo nikaagiza kwa tsh 240,000 4pc nimezifunga jana na mpaka leo hilo tatizo sijaliona wakuu nasubiri nizicheki nione zinavyohimili afu ntawajuza wakubwa.
Asanteni sana kwa ushirikiano mnaoenesha hapa jukwani
Asanteni sana kwa ushirikiano mnaoenesha hapa jukwani