Nissan xtrail

Nissan xtrail

matinel

Member
Joined
Dec 31, 2022
Posts
24
Reaction score
33
Wakubwa mtakumbuka hapo juzi niliwandikia kuhusu xtrail yangu kushtuka shtuka ikikfika rpm ya 40 kwenda 60 hapo n mkanishauri kuwa tafuta plug og na kuna member aliniambia kuna jamaa wanaitwa gathani to limited nikaongea nao , kwanza kabla ya kuongea nao nikangalia plug ambazo zilitoka na gari japan maana nilizitunza zinaitwa iridium DF6-11B nikawauliza kama wanazo na wakadai wanazo , hivyo nikaagiza kwa tsh 240,000 4pc nimezifunga jana na mpaka leo hilo tatizo sijaliona wakuu nasubiri nizicheki nione zinavyohimili afu ntawajuza wakubwa.
Asanteni sana kwa ushirikiano mnaoenesha hapa jukwani
 
Hongera ni ugonjwa wa xtrail na dualis. Unaweza muda fulani ikashtuka ukahisi labda ni gearbox hasa kwa dualis inayotumua cvt. Hebu nisaidie namba ya hao jamaa
 
Kweli kabisa kwenye dualis hii shida ya kushtuka ipo, hata mimi ilinitokea, inatokea kama missing fulani hivi, ila kabda sijapeleka kwa fundi nikauza. Ila plug siku chache nilibadilisha zote lakini issue haikuwa sorted.
 
Back
Top Bottom