mi_mdau
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,170
- 1,708
Kwa nini nissan civilian zikiwa na hii injini huwa zinachemsha zikipiga route ndefu tofauti na mshindani wake coaster 1hz?
Service. Haijanipa shida hiyo, safari ndefu kama kawaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini nissan civilian zikiwa na hii injini huwa zinachemsha zikipiga route ndefu tofauti na mshindani wake coaster 1hz?
WivuSasa sisi tufanye?
Hapana 4m51 size yake ni No4c zote ni 180hp ila 1hd-fte ni balaa ina 200+hpService mbovu, Nissan anapiga route ndefu bila shida. Saizi Nissan Civilian W41 zinakuja na engine aina 3, Zd30 kwa short base body, Td42 na 4M51 kwa long base body.
4M51 ya mitsubishi saizi inafungwa kwenye Nissan Civilian W41 kutoka kiwandani moja kwa moja.Hii inapambana kwa nguvu na mwendo na engine ya 1hd -fte
1hd fte hafiki 200hp ni 167hp.Hapana 4m51 size yake ni No4c zote ni 180hp ila 1hd-fte ni balaa ina 200+hp
No4c saizi yake ni engine ya Zd30Hapana 4m51 size yake ni No4c zote ni 180hp ila 1hd-fte ni balaa ina 200+hp
KabisaWivu
Labda no 4c vj ila no 4cvk ni habari nyingine mkuu 4m50 anasubiriNo4c saizi yake ni engine ya Zd30
The version with intercooler as fitted to HDJ100 station wagons has 202 hp (151 kW; 205 PS)1hd fte hafiki 200hp ni 167hp.
4m51 inamsimbua vizuri 1hd fte, kitu cha kipekee kwa 1hd fte milimani haisinzii hata kidogo
Mimi nasemea 4m51 hiyo 4m50 kawaidaLabda no 4c vj ila no 4cvk ni habari nyingine mkuu 4m50 anasubiri