NIT yazindua rasmi School of Aviation Techology.

NIT yazindua rasmi School of Aviation Techology.

gharama zao ni kiasi gani? na sisi wazee tuliofika darasa la saba ndio imekula kwetu?
Ni kweli, hata mimi nilikua nilikua napenda sana enzi za utotoni kua Pilot.

katika vyuo vyenye gharama ndogo hapa Tanzania NIT ni kimoja wapo, Pia tuombe na kwa kozi hii pia iwe ni nafuu.

Hawa Aero - Lease Investment sijajua ni watu gani bado. Ila ndio walio wafadhili wa ndege hiyo.
 
PJ kuna siku nitakuconsult kuhusu urubani kwani kuna ndugu yangu yuko form five pgm anataka kuwa rubani na si vinginevyo.
 
Mzee fursa bado unayo.
Gharama zake awaja ziainisha bado.
Sifa amabazo nimedokezwa..
Grade C 5 za form four
Diploma in Mechanical Eng or Automobile Eng.

gharama zao ni kiasi gani? na sisi wazee tuliofika darasa la saba ndio imekula kwetu?
 
Gogo Vivu
Ahsante kwa kunijuulisha lakini mambo ya mechanics yanahusu nini na urubani? au mimi ndio kwavile Maimuna sifahamu? hizo grade C naweza kuelewa lakini nauliza tena form four division 5 ndio vipi hatuna nafasi za upendeleo?
Kweli vyo vinahitajika hapa TZ lakini nikiuliza zaidi vipi instrument na commercial wanatowa mafunzo na leseni hizo?

Mkubwa,
Kwa habari ya gharama tusubirie tuwasikie wataendaje, nadhani kuna mahali nimetaja bei za kusomea huko ughaibuni.

Kwa hili la watu wa Darasa la saba, ninachoweza kukwambia ni kwamba kama unamaanisha la saba kikweli, basi huyo rubani atataabika sana maana communicatiomd yote kwny ndege inaenda kwa lugha ya kufikia.
Lakini pia kuna ishu za hesabu za mafuta ambapo lazima rubani ajue anaenda destination gani na huko atabeba abiria wangapi, ili aamue ajaze mafuta kiasi gani.
Jomba LY itakutesa, pandapanda kidogo ujiimarishe kwenye lugha na jiografia.

Lakini kuna exceptionals. Watu wengi walikuwa wanamjua rubani aliyekuwa anaitwa Bob Sambeke, labda watusaidie alikuwa amesoma hadi darasa gani.
Ujanja na utundu wa mjini nao unasaidia
 
PakaJimmy
tulisoma zamani sio darasa la saba la leo
Kuhusu hesabu sio tatizo kwenye weight and balance na lugha kwani kiswahili si lugha ya Taifa? na tunaikuza karibu itakuwa ya kimataifa
 
Ndugu Wandugu Masanja

Nilidokezwa na mtu wa pale, kwamba watapewa kipaumbele zaidi kwasababu pia wana ujuzi na ufundi, na wapo katika mchakato wa kuanzisha fani ya uhandisi ndege.
Kwa form division five, kwakweli sijui.
Ngoja tusubiri chuo kitoe vigezo rasmi vitavyo tumika, huenda wakawa na utaratibu wao wa kuwasaidia watu wa namna hiyo.
Ni kweli vyuo vinahitajika pasipo kusahau kwenda sambamba na teknolojia.

Gogo Vivu
Ahsante kwa kunijuulisha lakini mambo ya mechanics yanahusu nini na urubani? au mimi ndio kwavile Maimuna sifahamu? hizo grade C naweza kuelewa lakini nauliza tena form four division 5 ndio vipi hatuna nafasi za upendeleo?
Kweli vyo vinahitajika hapa TZ lakini nikiuliza zaidi vipi instrument na commercial wanatowa mafunzo na leseni hizo?
 
mambo ya aviation kama unavyosema ni kweli inahitaji elimu na ufahamu mzuri kwani hata huko juu kwasasa hakuna shirika linalojulikana kuajiri rubani bila ya elimu ya chuo,(degree) ya aina yoyote ile

Just kwa kukuuliza tu nilikuwa ninatafuta umakini wa vyuo sio pesa, Tanzania tunahitaji marubani wazawa na wenye elimu, kama mchangiaji mmoja hapo juu alieleza kuwa marubani wengi waliopo kwa sasa ni wageni kutoka nje,
Jee kweli hatuwezi kuwa na marubani wetu na waliokuwa na elimu?
Jibu ndio tunaweza ikiwa tutawezeshwa
 
Ni kweli na ulicho eleza hapa huenda ikawa ni sababu ya NIT kuwapa kipaumbele watu wenye ujuzi wa kozi nilizo kutajia..
ili kupata marubani wasomi.
 
Hongera NIT
Tumuombe Mungu chuo kidumu na kitowe elimu nzuri ili kikubalike kimataifa huko mbeleni,
Ni kweli na ulicho eleza hapa huenda ikawa ni sababu ya NIT kuwapa kipaumbele watu wenye ujuzi wa kozi nilizo kutajia..
ili kupata marubani wasomi.
 
ni habari njema ....ila tu kama sio "under licence"
Unamaanisha nini broda?
Mi naona elimu zote tunazojifunzia madarasani ni "UnderLicence", kasoro Ugagura ambao ndio wa kwetu parse!
Lakini na wenyewe umeshindwa vibaya maana kila siku wanaporomoka na ungo zao na kuishia kudhalilika.
 
Back
Top Bottom