Wandugu Masanja
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 1,574
- 522
gharama zao ni kiasi gani? na sisi wazee tuliofika darasa la saba ndio imekula kwetu?
Ni kweli, hata mimi nilikua nilikua napenda sana enzi za utotoni kua Pilot.
katika vyuo vyenye gharama ndogo hapa Tanzania NIT ni kimoja wapo, Pia tuombe na kwa kozi hii pia iwe ni nafuu.
Hawa Aero - Lease Investment sijajua ni watu gani bado. Ila ndio walio wafadhili wa ndege hiyo.