Wandugu Masanja
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 1,574
- 522
Ni kweli, hata mimi nilikua nilikua napenda sana enzi za utotoni kua Pilot.
katika vyuo vyenye gharama ndogo hapa Tanzania NIT ni kimoja wapo, Pia tuombe na kwa kozi hii pia iwe ni nafuu.
Hawa Aero - Lease Investment sijajua ni watu gani bado. Ila ndio walio wafadhili wa ndege hiyo.
gharama zao ni kiasi gani? na sisi wazee tuliofika darasa la saba ndio imekula kwetu?
Mzee fursa bado unayo.
Gharama zake awaja ziainisha bado.
Sifa amabazo nimedokezwa..
Grade C 5 za form four
Diploma in Mechanical Eng or Automobile Eng.
Mkubwa,gharama zao ni kiasi gani? na sisi wazee tuliofika darasa la saba ndio imekula kwetu?
Gogo Vivu
Ahsante kwa kunijuulisha lakini mambo ya mechanics yanahusu nini na urubani? au mimi ndio kwavile Maimuna sifahamu? hizo grade C naweza kuelewa lakini nauliza tena form four division 5 ndio vipi hatuna nafasi za upendeleo?
Kweli vyo vinahitajika hapa TZ lakini nikiuliza zaidi vipi instrument na commercial wanatowa mafunzo na leseni hizo?
mambo ya aviation kama unavyosema ni kweli inahitaji elimu na ufahamu mzuri kwani hata huko juu kwasasa hakuna shirika linalojulikana kuajiri rubani bila ya elimu ya chuo,(degree) ya aina yoyote ile
Just kwa kukuuliza tu nilikuwa ninatafuta umakini wa vyuo sio pesa, Tanzania tunahitaji marubani wazawa na wenye elimu, kama mchangiaji mmoja hapo juu alieleza kuwa marubani wengi waliopo kwa sasa ni wageni kutoka nje,
Jee kweli hatuwezi kuwa na marubani wetu na waliokuwa na elimu?
Jibu ndio tunaweza ikiwa tutawezeshwa
Ni kweli na ulicho eleza hapa huenda ikawa ni sababu ya NIT kuwapa kipaumbele watu wenye ujuzi wa kozi nilizo kutajia..
ili kupata marubani wasomi.
Unamaanisha nini broda?ni habari njema ....ila tu kama sio "under licence"
ndio nini hiyo?
du,Huyo ni lecturer pale, usishangae anavyoandika ki fb.
Huyo ni lecturer pale, usishangae anavyoandika ki fb.