Nita-guess kipato chako

Nonsense, 2mil labda kwa dakika, ila hata kwa siku nshavuka. Kila aliye JF unadhani ni level yako?
 
Okay.
Let's see kama utaweza kuguess kipato changu
 

🤣🤣🤣🤣
 
Nonsense, 2mil labda kwa dakika, ila hata kwa siku nshavuka. Kila aliye JF unadhani ni level yako?
Nyie watu wa teknolojia huwa mnajikuta mna ndoto nyingi sana..kama watu wa forex wana idea kubwa za kutengeneza 10mil kwa siku lakn ukiangalia hata simu wanatumia ya tochi
Ndoto wewe unazo kubwa sana kama naziona vile za kutengeneza 50mil kwa mwez lakini for the time being ukwel ni kwamba hizo bado ni ndoto ndugu
 
Nonsense, 2mil labda kwa dakika, ila hata kwa siku nshavuka. Kila aliye JF unadhani ni level yako?
Graph haya ni ya kweli, embu njoo
 
Huyu jamaa itakuwa anapitia uzi za mtu, za kipindi cha nyuma.
Binadamu huwa wana tendency ya kutafuta explanation kwa vitu wasivyovijua ili wa feel comfortable
Wanasayansi wanajaribu kuelezea ulimwengu uliumbwaje ili wafeel comfortable hawataki kukaa na kukubali kuna extra ordinary supernatural power ina operate
Sasa wewe tafuta explanations zozote unazotaka za jinsi navyojua vipato vya watu cha msingi mimi sidanganyi na kazi yangu nakamilisha
 

Hehe sasa we endelea kufikiri ni ndoto, naona umeenda kuchimba sana profile yangu kujua ni mtu wa tech. Utabaki kuishi chini ya 2mil peke yako. Sihitaji kuprove chochote kwako maana huniongezei wala kunipunguzia chochote zaidi unanipotezea muda tu. Kwa taarifa yako nilivuka hiyo stage miaka zaidi ya 10 iliyopita
 
Endelea kulala ndugu...naona una Ndoto nzuri sana
 
Haaa haaaaa profile yako mbona imefungwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…