Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay.Mimi ni nabii lakini situmii supernatual powers zozote bali natumia tools kama logical deductions from comparative observations,akili ya kuzaliawa na commom sense
Straight to the title ukireply uzi huu mimi nitajua kipato chako kwa mwezi
Tukianza na hapa
kwa kuwa tu upo unasoma huu uzi,basi wewe kipato chako hakifiki million 2 kwakuwa usingepata muda wa kufatilia hizi nyuzi na kuchati jf ungekuwa bize na mabiashara yako
Social network ambayo ungetumia ni whatsapp business na instagram kwa ajili ya matangazo..
Therefore nishajua haufikishi million 2 ,,
reply hapa nikutajie exact ni kiasi gani.
Wewe hujaajiriwa shirika lolote ila ni mzee wa tenda hapa na pale especially za majumbani mwa watu
Hauna constant mshahara kwa mwezi kwa kuwa kuna kupanda na kushuka
Hauna kiasi kwani umezidi pombe,miziki,wanawake and/or kubeti
Hivyo haufiki laki5 ndugu wew unacheza na laki3-4 hadi lak2 mwez ukikaza
Nyie watu wa teknolojia huwa mnajikuta mna ndoto nyingi sana..kama watu wa forex wana idea kubwa za kutengeneza 10mil kwa siku lakn ukiangalia hata simu wanatumia ya tochiNonsense, 2mil labda kwa dakika, ila hata kwa siku nshavuka. Kila aliye JF unadhani ni level yako?
Nonsense, 2mil labda kwa dakika, ila hata kwa siku nshavuka. Kila aliye JF unadhani ni level yako?
Graph haya ni ya kweli, embu njooNyie watu wa teknolojia huwa mnajikuta mna ndoto nyingi sana..kama watu wa forex wana idea kubwa za kutengeneza 10mil kwa siku lakn ukiangalia hata simu wanatumia ya tochi
Ndoto wewe unazo kubwa sana kama Granaziona vile za kutengeneza 50mil kwa mwez lakini for the time being ukwel ni kwamba hizo bado ni ndoto ndugu
Eeeh fanya hivyo, itakuwa vyema.Au unataka nikutabirie ukimaliza utaanza na mshahara wa shngap? Na lini?
Huyu jamaa itakuwa anapitia uzi za mtu, za kipindi cha nyuma.VIP Mimi mkuu
Mwambie ukimaliza chuo itakuwajeHuyu jamaa itakuwa anapitia uzi za mtu, za kipindi cha nyuma.
Binadamu huwa wana tendency ya kutafuta explanation kwa vitu wasivyovijua ili wa feel comfortableHuyu jamaa itakuwa anapitia uzi za mtu, za kipindi cha nyuma.
Kufa kupo kiongozi ila naona hukujibu au doti zinagoma kuunganaHii ni mbaya sana wengi wanapataga presha
Nlishawahi kumtabiria mtu kifo cha mke wake akaenda kujinyonga
Sawa mkuu vip ya kipato changuizo za maisha ya future skuizi sitabiri
Watu huwa wana run mental
Haaaaa haaaaa haaaaNawewe nikitaje huku au nije PM Maana ni aibu
Nyie watu wa teknolojia huwa mnajikuta mna ndoto nyingi sana..kama watu wa forex wana idea kubwa za kutengeneza 10mil kwa siku lakn ukiangalia hata simu wanatumia ya tochi
Ndoto wewe unazo kubwa sana kama naziona vile za kutengeneza 50mil kwa mwez lakini for the time being ukwel ni kwamba hizo bado ni ndoto ndugu
Endelea kulala ndugu...naona una Ndoto nzuri sanaHehe sasa we endelea kufikiri ni ndoto, naona umeenda kuchimba sana profile yangu kujua ni mtu wa tech. Utabaki kuishi chini ya 2mil peke yako. Sihitaji kuprove chochote kwako maana huniongezei wala kunipunguzia chochote zaidi unanipotezea muda tu. Kwa taarifa yako nilivuka hiyo stage miaka zaidi ya 10 iliyopita
Haaa haaaaa profile yako mbona imefungwa?Hehe sasa we endelea kufikiri ni ndoto, naona umeenda kuchimba sana profile yangu kujua ni mtu wa tech. Utabaki kuishi chini ya 2mil peke yako. Sihitaji kuprove chochote kwako maana huniongezei wala kunipunguzia chochote zaidi unanipotezea muda tu. Kwa taarifa yako nilivuka hiyo stage miaka zaidi ya 10 iliyopita