Nita-guess kipato chako

Nita-guess kipato chako

Nonsense, 2mil labda kwa dakika, ila hata kwa siku nshavuka. Kila aliye JF unadhani ni level yako?
 
Mimi ni nabii lakini situmii supernatual powers zozote bali natumia tools kama logical deductions from comparative observations,akili ya kuzaliawa na commom sense
Straight to the title ukireply uzi huu mimi nitajua kipato chako kwa mwezi
Tukianza na hapa

kwa kuwa tu upo unasoma huu uzi,basi wewe kipato chako hakifiki million 2 kwakuwa usingepata muda wa kufatilia hizi nyuzi na kuchati jf ungekuwa bize na mabiashara yako
Social network ambayo ungetumia ni whatsapp business na instagram kwa ajili ya matangazo..

Therefore nishajua haufikishi million 2 ,,
reply hapa nikutajie exact ni kiasi gani.
Okay.
Let's see kama utaweza kuguess kipato changu
 
Wewe hujaajiriwa shirika lolote ila ni mzee wa tenda hapa na pale especially za majumbani mwa watu
Hauna constant mshahara kwa mwezi kwa kuwa kuna kupanda na kushuka
Hauna kiasi kwani umezidi pombe,miziki,wanawake and/or kubeti
Hivyo haufiki laki5 ndugu wew unacheza na laki3-4 hadi lak2 mwez ukikaza

🤣🤣🤣🤣
 
Nonsense, 2mil labda kwa dakika, ila hata kwa siku nshavuka. Kila aliye JF unadhani ni level yako?
Nyie watu wa teknolojia huwa mnajikuta mna ndoto nyingi sana..kama watu wa forex wana idea kubwa za kutengeneza 10mil kwa siku lakn ukiangalia hata simu wanatumia ya tochi
Ndoto wewe unazo kubwa sana kama naziona vile za kutengeneza 50mil kwa mwez lakini for the time being ukwel ni kwamba hizo bado ni ndoto ndugu
 
Ndoto wewe unazo kubwa sana kama Granaziona vile za kutengeneza 50mil kwa mwez lakini for the time being ukwel ni kwamba hizo bado ni ndoto ndugu
Graph haya ni ya kweli, embu njoo
 
Huyu jamaa itakuwa anapitia uzi za mtu, za kipindi cha nyuma.
Binadamu huwa wana tendency ya kutafuta explanation kwa vitu wasivyovijua ili wa feel comfortable
Wanasayansi wanajaribu kuelezea ulimwengu uliumbwaje ili wafeel comfortable hawataki kukaa na kukubali kuna extra ordinary supernatural power ina operate
Sasa wewe tafuta explanations zozote unazotaka za jinsi navyojua vipato vya watu cha msingi mimi sidanganyi na kazi yangu nakamilisha
 
Nyie watu wa teknolojia huwa mnajikuta mna ndoto nyingi sana..kama watu wa forex wana idea kubwa za kutengeneza 10mil kwa siku lakn ukiangalia hata simu wanatumia ya tochi
Ndoto wewe unazo kubwa sana kama naziona vile za kutengeneza 50mil kwa mwez lakini for the time being ukwel ni kwamba hizo bado ni ndoto ndugu

Hehe sasa we endelea kufikiri ni ndoto, naona umeenda kuchimba sana profile yangu kujua ni mtu wa tech. Utabaki kuishi chini ya 2mil peke yako. Sihitaji kuprove chochote kwako maana huniongezei wala kunipunguzia chochote zaidi unanipotezea muda tu. Kwa taarifa yako nilivuka hiyo stage miaka zaidi ya 10 iliyopita
 
Endelea kulala ndugu...naona una Ndoto nzuri sana
 
Hehe sasa we endelea kufikiri ni ndoto, naona umeenda kuchimba sana profile yangu kujua ni mtu wa tech. Utabaki kuishi chini ya 2mil peke yako. Sihitaji kuprove chochote kwako maana huniongezei wala kunipunguzia chochote zaidi unanipotezea muda tu. Kwa taarifa yako nilivuka hiyo stage miaka zaidi ya 10 iliyopita
Haaa haaaaa profile yako mbona imefungwa?
 
Back
Top Bottom