Duuuh!We, kipato chako cha kati, range 500000 hadi 800000, ingawa una mipango mingi mikubwa hadi inapekekea uwaze project za kuongeza kipato ila sio mtendaji, you take it easy, huna matumizi makubwa yani upo simple, labda ndio maana unachukulia simple project unazowaza, ni mpole sio mtu wa kujichanganya sana.
Niambie ni edit wapi kukuhusu😂😂😂Duuuh!
Njopino wewe 🙈
Hapo kwenye upole, me sio mpole ila ni mkimya.Niambie ni edit wapi kukuhusu😂😂😂
Asante kwa hilo, try your luck tuone...🤔🤔Hapo kwenye upole, me sio mpole ila ni mkimya.
Umepatia kiasi 😂
Niambie ni edit wapi kukuhusu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hmm ni ngumu etiAsante kwa hilo, try your luck tuone...🤔🤔
Hata sijachukulia sirious.Dogo acha wenge,huyu ni mjanja mjanja tu kama walivyo wengine anachofanya anaangalia post zako na michango yako unayoi-post humu anajifanya ametabiri but hakuna kitu kama hiko kama alivyomfanyia mdau hapo juu post #3 hilo jibu lake limetokana na post hii hapa chini.
SERIKALI Naomba mtuondolee kodi wafanyakazi wa umma wenye biashara ndogo ndogo kujikwamua kimaisha
Kwa miaka minne sasa hakujakuwa na nyongeza ya mishahara na hali imekuwa ngumu sana kumudu maisha ya kawaida mimi kwa niaba ya wafanyakazi wa serikali ambao tulikopa kwenye SACCOS zetu kujikwamua kidogo kidogo wakati tukisukuma gurudumu la maendeleo serikalini TUNAOMBA serikali iangalie jinsi...www.jamiiforums.com
Wewe amekujibu kutokana na ulicho-post hapa
Msaada: Kati ya bachelor of science in geoinformatics (ARU) na bachelor degree in automobile engineering (NIT) nisome ipi?
Poleni kazi Wakuu. Jamani nahitaji msaada kwa alie na ufahamu juu ya hizo field hapo juu. Nimechaguliwa bachelor of science in geoinformatics (ARU) na bachelor degree in automobile engineering (NIT) Sasa wakuu napenda kuuliza ivi kati ya izo field ni ipi yenye future nzuri apo? And then...www.jamiiforums.com
Usichukulie serious sana mambo ya mitandaoni utapasuka akili bure pia uzi upo chit chat so moja kwa moja ni utani wewe piga kitabu kwa amani but nachokushauri usisome huku ukiwaza kuajiriwa kama unawaza hivi basi utakuwa shule umeenda kupoteza muda.
Unataka utoke na ma detail yangu eeh😂😂😂. we ni mjanja, ngoja uzi uwe closed nitakuelekeza chimbo lenye kutoa madini haya.Niambie ilo chimbo lenye uliingia maana hmm.....🙌
Mpaka Uzi uwe closed ni lini? Nataka nichukue points nipeleke kwenye maproject😊Unataka utoke na ma detail yangu eeh😂😂😂. we ni mjanja, ngoja uzi uwe closed nitakuelekeza chimbo lenye kutoa madini haya.
Duniani kuna mambo!! Hizo posts mwenyewe ndo naziona kwakoDogo acha wenge,huyu ni mjanja mjanja tu kama walivyo wengine anachofanya anaangalia post zako na michango yako unayoi-post humu anajifanya ametabiri but hakuna kitu kama hiko kama alivyomfanyia mdau hapo juu post #3 hilo jibu lake limetokana na post hii hapa chini.
SERIKALI Naomba mtuondolee kodi wafanyakazi wa umma wenye biashara ndogo ndogo kujikwamua kimaisha
Kwa miaka minne sasa hakujakuwa na nyongeza ya mishahara na hali imekuwa ngumu sana kumudu maisha ya kawaida mimi kwa niaba ya wafanyakazi wa serikali ambao tulikopa kwenye SACCOS zetu kujikwamua kidogo kidogo wakati tukisukuma gurudumu la maendeleo serikalini TUNAOMBA serikali iangalie jinsi...www.jamiiforums.com
Wewe amekujibu kutokana na ulicho-post hapa
Msaada: Kati ya bachelor of science in geoinformatics (ARU) na bachelor degree in automobile engineering (NIT) nisome ipi?
Poleni kazi Wakuu. Jamani nahitaji msaada kwa alie na ufahamu juu ya hizo field hapo juu. Nimechaguliwa bachelor of science in geoinformatics (ARU) na bachelor degree in automobile engineering (NIT) Sasa wakuu napenda kuuliza ivi kati ya izo field ni ipi yenye future nzuri apo? And then...www.jamiiforums.com
Usichukulie serious sana mambo ya mitandaoni utapasuka akili bure pia uzi upo chit chat so moja kwa moja ni utani wewe piga kitabu kwa amani but nachokushauri usisome huku ukiwaza kuajiriwa kama unawaza hivi basi utakuwa shule umeenda kupoteza muda.
Jifunze kuwa watanzania ni adui wa ukweli hivo hamna atakaekubaliReally bro!!!
Siwezi kuamini hili,but nipo post ya #77 sijaona hata mmoja aliyekubaliana na wewe may be unadanganya?
Mwenye JF na crew yake ya karibu ndo wanatengeneza hio na zaidi na hata wao hawachat humu ..wako bize wana monitor networkings tuWife mwenyewe hajui exactly naingiza kiasi gani wewe ndio uje upatie? Acha kupoteza muda.
Pia kuna watu kuwa JF inawasaidia kupata pesa zaidi. Endelea kukariri hivyohivyo na kutabiria watu wakati wewe hali mbaya.
Umejua kupretendDuniani kuna mambo!! Hizo posts mwenyewe ndo naziona kwako