Nita-guess kipato chako

Nita-guess kipato chako

We, kipato chako cha kati, range 500000 hadi 800000, ingawa una mipango mingi mikubwa hadi inapekekea uwaze project za kuongeza kipato ila sio mtendaji, you take it easy, huna matumizi makubwa yani upo simple, labda ndio maana unachukulia simple project unazowaza, ni mpole sio mtu wa kujichanganya sana.
Duuuh!
Njopino wewe 🙈
 
Dogo acha wenge,huyu ni mjanja mjanja tu kama walivyo wengine anachofanya anaangalia post zako na michango yako unayoi-post humu anajifanya ametabiri but hakuna kitu kama hiko kama alivyomfanyia mdau hapo juu post #3 hilo jibu lake limetokana na post hii hapa chini.

Wewe amekujibu kutokana na ulicho-post hapa

Usichukulie serious sana mambo ya mitandaoni utapasuka akili bure pia uzi upo chit chat so moja kwa moja ni utani wewe piga kitabu kwa amani but nachokushauri usisome huku ukiwaza kuajiriwa kama unawaza hivi basi utakuwa shule umeenda kupoteza muda.
Hata sijachukulia sirious.

Ni huyo jamaa niliemquote nilikuwa najibu alichokisema, but na mimi sikuwa siriasi
 
Niambie ilo chimbo lenye uliingia maana hmm.....🙌
Unataka utoke na ma detail yangu eeh😂😂😂. we ni mjanja, ngoja uzi uwe closed nitakuelekeza chimbo lenye kutoa madini haya.
 
Unataka utoke na ma detail yangu eeh😂😂😂. we ni mjanja, ngoja uzi uwe closed nitakuelekeza chimbo lenye kutoa madini haya.
Mpaka Uzi uwe closed ni lini? Nataka nichukue points nipeleke kwenye maproject😊
 
Dogo acha wenge,huyu ni mjanja mjanja tu kama walivyo wengine anachofanya anaangalia post zako na michango yako unayoi-post humu anajifanya ametabiri but hakuna kitu kama hiko kama alivyomfanyia mdau hapo juu post #3 hilo jibu lake limetokana na post hii hapa chini.

Wewe amekujibu kutokana na ulicho-post hapa

Usichukulie serious sana mambo ya mitandaoni utapasuka akili bure pia uzi upo chit chat so moja kwa moja ni utani wewe piga kitabu kwa amani but nachokushauri usisome huku ukiwaza kuajiriwa kama unawaza hivi basi utakuwa shule umeenda kupoteza muda.
Duniani kuna mambo!! Hizo posts mwenyewe ndo naziona kwako
 
Really bro!!!

Siwezi kuamini hili,but nipo post ya #77 sijaona hata mmoja aliyekubaliana na wewe may be unadanganya?
Jifunze kuwa watanzania ni adui wa ukweli hivo hamna atakaekubali
Nikimuambia teja humu una kipato cha 5milioni utaskia anajibu "Ewaaaa umenipatia kabisa kama ninavyopata kama size yangu kutoka Tigo"
 
Wife mwenyewe hajui exactly naingiza kiasi gani wewe ndio uje upatie? Acha kupoteza muda.

Pia kuna watu kuwa JF inawasaidia kupata pesa zaidi. Endelea kukariri hivyohivyo na kutabiria watu wakati wewe hali mbaya.
Mwenye JF na crew yake ya karibu ndo wanatengeneza hio na zaidi na hata wao hawachat humu ..wako bize wana monitor networkings tu
 
Mimi ni mtu wa hekaheka na kila mwezi napata kingine nje ya mshahara...naomba usinipe range nipe exact mwezi uliopita niliingiza shngap
Ukiweza we kaka sijui nitakupa nini
 
Back
Top Bottom