Nita-guess kipato chako

Nita-guess kipato chako

Wewe hujaajiriwa shirika lolote ila ni mzee wa tenda hapa na pale especially za majumbani mwa watu
Hauna constant mshahara kwa mwezi kwa kuwa kuna kupanda na kushuka
Hauna kiasi kwani umezidi pombe,miziki,wanawake and/or kubeti
Hivyo haufiki laki5 ndugu wew unacheza na laki3-4 hadi lak2 mwez ukikaza
 
Dooooh ....? Aya ww si umeangalia jina tu hahaha i
Kwahiyo jina lako tu limeniambia yote hayo??mafundi wapo wengi kuna fundi simu hadi fundi vitandani ningejuaje we eneo lako la kazi mda mwingi ni majumbani?au unapenda wanawake na miziki na kubeti?
 
Kwaio aache kazi apige biashara ili aje kumsubiria anaelipwa mshahara aje anunue kwake daah aiseee?
Hata anapofanya kazi anasubiria wafanya biashara au wafanyakaz wengine waendeshe kazi yake..kwamfano kama ni mwalimu anasubiria wafanyabiashara na wafanyakaz walete watoto wao walipe ada au kama ni benki atasubiria wafanyabiashara au wafanyakazi waweke na kutoa fedha
 
Back
Top Bottom