MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Jaribu kwangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suu!Sema Su....
Nitaje kipato chako...
Mmmh ni ya kweli haya!?Unakataa huku halafu unakuja pm "braza umejuaje?" You know im right
Wewe hujaajiriwa shirika lolote ila ni mzee wa tenda hapa na pale especially za majumbani mwa watuJe mm ??
Kwahiyo jina lako tu limeniambia yote hayo??mafundi wapo wengi kuna fundi simu hadi fundi vitandani ningejuaje we eneo lako la kazi mda mwingi ni majumbani?au unapenda wanawake na miziki na kubeti?Dooooh ....? Aya ww si umeangalia jina tu hahaha i
Hata anapofanya kazi anasubiria wafanya biashara au wafanyakaz wengine waendeshe kazi yake..kwamfano kama ni mwalimu anasubiria wafanyabiashara na wafanyakaz walete watoto wao walipe ada au kama ni benki atasubiria wafanyabiashara au wafanyakazi waweke na kutoa fedhaKwaio aache kazi apige biashara ili aje kumsubiria anaelipwa mshahara aje anunue kwake daah aiseee?
Wewe ndo kwanza huna hata kazi hivyo huna hata kipato au unataka nikutabirie una boom au hauna wakati Mwaka wa pili safari bado?Tunguli zako hazifanyi kazi, mbona hujaendelea au au au
[emoji42]
Ualimu vipi ajira? Punguza kubeti
Komaa na biashara zako
Utafika tu lakini bado upo under laki5
Mimi naishi USA haya taja kipato changu mkuu