NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Ndivyo nitakavyofanya kama chama changu ccm kikiniteua na nikashinda uchaguzi huko tuendako.
1. Siasa itakua sio ajira Tena Bali kipimo Cha uzalendo kama jeshi letu lilivyo sio ajira na siasa itakua hivyo hivyo!yaani mtu hatoingia siasani kutajirika kama ilivyo Sasa Hilo msahau,ukitaka utajiri kalime Fanya ujasiriamali sio kutegemea mishahara,posho na mafao ya kisiasa.
2. Malipo ya kisiasa yatategemea Hali ya maisha ya wananchi waliochini,itakua ni task Kwa wanasiasa kuwapigania Hadi wainuke kiuchumi ndio wapate ongezeko la posho na mishahara Yao,bila hivyo hakuna na hii mishahara na mafao ya anasa yatafutwa kwanza tuanze upya kutokana na hali ya kiuchumi ya wananchi wa kawaida.
3. Mapesa yaliyopo kwenye siasa hizo posho,mishahara na mafao yatatumika kwenye sekta za afya,maji,umeme,elim,kilimo na mifugo Ili kuwafikia wananchi!
4. Hakuna tatizo la ajira nchini Bali Kuna tatizo la vipaumbele vya wanasiasa na viongozi,Ambao viongozi wengi kipaumbele Chao ni kulipana posho na mishahara mikubwa TU na sio kupambania ajira .
Ajira zipo nchini nyingi TU,mfano angalia sekta ya elimu,afya na kilimo angalia uwiano uliopo kati ya watumishi na wananchi wanaohudumiwa utaona Kuna gap kubwa,jiulize Mwalimu mmoja anafundisha wastani was watoto wangapi!!?ikiwa Kila mwaka idadi ya ufaulu na wanaojiunga shuleni inaongezeka !utasemaje ajira hamna!!?angalia sekta ya afya uwiano uliopo kati manesi/madaktari na idadi ya wagonjwa na sekta nyingine zote utagundua hakuna tatizo la ajira Bali serikali Haina fedha za kuajiri TU ambazo zimeelekezwa kulipa wanasiasa kwa anasa zao na kutokulipa bills za umeme na maji plus bima kibao.
5. Nashangaa watoto wetu hawanywi maziwa shuleni!!ng'ombe tunazo malisho tunayo sekta binafsi imeshindwa ku supply vya kutosha!JKT na magereza KAZI Yao nini!!?JKT na magereza ndio kiungo muhimu katika kudhibiti mfumuko was bei wa Bidhaa mbali mbali kama mafuta,sukari n.k wataingia mzigoni hakuna mfungwa atakae lala saa za kazi watafanya kazi usiku na mchana vivyo hivyo JKT,
Nashangaa mwwendokasi wanapewa waarabu!jkt plus magereza sio TU watasimamia mwendokasi Bali pia magari ya kwenda mikoani Kwa bei elekezi ya sumatra na huduma bora!sekta binafsi inanyanyasa wananchi Kwa maslahi binafsi lazima ipate ushindani!!!
6. Bodi ya mikopo ya elimu ya juu itafutwa rasmi elimu ya juu itakua bure!wanafunzi watajikim kwasababu mikopo mingi hairudishwi na wanufaika, ni Bora Bodi ifutwe elimu ya juu iwe bure!!field watapangiwa utaratibu wa chakula Huko walipo,hostel zitajengwa,vyuo vitawezeshwa kujiendesha fedha za bodi zitatumika kurekebisha miundombinu ya chuo husika ili viendane na hali ya kisasa!!nitakaribisha maoni na mapendekezo kwenye hilo!
Jiandaeni kuwa wazalendo