Nitaandaa muswada wa kisheria kila kiongozi mwanasiasa alipwe kutokana na Hali ya maisha ya mwananchi wa wa kawaida yalivyo!

Watakuchukia hadi siku unaaga dunia.
 
hata urudiwe mara twenty ntamgalagaza yeyote pasina shaka yoyote pale jimboni....
Kumbe hujanielewa!think deep,muswada utapitishwa Kwa ku sign na ku tick kwenye ki box,iwapo utajaza hapana na wewe ni mwanaccm!Jimbo litatangazwa upya na wewe hutapita ndani ya chama kugombea!na Jimbo halitoenda upinzani!!
 
Kumbe hujanielewa!think deep,muswada utapitishwa Kwa ku sign na ku tick kwenye ki box,iwapo utajaza hapana na wewe ni mwanaccm!Jimbo litatangazwa upya na wewe hutapita ndani ya chama kugombea!na Jimbo halitoenda upinzani!!
niwe mgombea binafsi, niwe mgombea wa chama tawala ama upinzani, hayupo wa kuthubutu kufua dafu dhidi yamgu kwenye debe...

that one, I can assure the entire public, and the constituency without fear of contradictions,

and every one must understand it very clear, completely....
 
Kwa ufupi huna akili.
Kama ikitokea utakuwa kiongozi basi ni hasara kwa Taifa.
Hakuna taifa lililoendelea kwa kutegemea wafungwa
Wafungwa!!?nani kasema wafungwa!!?nimesema jkt na jeshi la magereza !!unaelewa maana yake!!?

Hao wachina vibarua kwenye makampuni unajua uhalisia wao !!?ni wafungwa kwenye mataifa yao hivyo kufanya kwao kazi ndio kutumikia kifungo chao!!

Unataka hao wafungwa wakitumikie kifungo Chao kwa kulala saa tisa Hadi kesho yake!!?

Fikiria upya!lazima magereza yaboreshwe yawe Bora zaidi kwa mstakabali wa taifa letu!!
 
Anhaa sawa tumekusikia, ujaye. Swali ni unakuja lini?

Uko na pointi.

Lakini mwanasiasa asilipwe kulingana na hali ya mwananchi, unajuaje labda kuna uzembe upande mmoja?

Acha alipwe kutokana na kazi anayofanya.

Labda cha kuondoa tu ni ile kumlipa mtu mara mbili kwa kuifanya kazi yake!! Mfano mbunge kwa kuhudhuria Bungeni????

Au taasisi kwa kufanya jukumu la kuanzishwa kwake!!?
 
Akili kubwa sana hii. Heko
 
Wazo zuri Sana hili
 
2035/2050 hapo katikati hapo ndipo maono yangu yalipo!!

Mwanasiasa atalipwa kizalendo Kwa kazi na Kwa hali ya uchumi ilivyo!!

Tunataka tupunguze wagebill Kwa serikali hasta kulea wanasiasa active na wastaafu,Kwa Hali ilivyo Sasa itafikia climax ya wagebill kiasi kwamba sektor nyingine zitakosa fedha za kujiendesha kutokana na uhitaji wa watu wengi Kwa sector hizo kama afya na elimu!!

Lazima tuweke limit kwenye hilo la sivyo nusu ya bajeti huko mbeleni itatumika kulea wanasiasa badala ya kuleta maendeleo sekta mtambuka!!
 
Watakimbbia ubunge
 
Watakimbbia ubunge
Ndio ninachotaka tupate wazalendo halisi sio hawa wapiga deals na wanga wengi na tai zao!!

Wakimbilie kwenye ueledi waliosomea kama no udokta udokta kama ni uprofesa uprofesa na huko kwenye tafiti ndio nitamwaga fedha hasta kwenye technology za uzalishaji mbegu Bora za kilimo kama pale SUA na vyuo vya kilimo ndio nitajikita huko!nataka Tanzania ilishe Dunia nzima na uwezo tunao!!
 
Wanasihasa wote wataacha hiyo kazi
Sijui utafanya siasa na akina nani !! πŸ€£πŸ™πŸ™
 
Naunga mkono hoja hii. ! πŸ‘πŸ’ͺπŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…