Nitabaki na mke wangu na wanangu, kumbe ndugu ni kenge tu

Kalibu tule bata
 
Kabisa mkuu
 
Ndio wabebe hati ya nyumba ,ingekua wewe ungekubali
 
Kwani hawezi vaa uhusika wa mtu mwingine?

Usikariri...
Achana nao hao dada yg Kuna watu hata shule walikua wagumu kuelewa , tatizo watu wengi vichwa box , mimi ni mshauri nasaha mambo ya mahusiano ukiwa na tatizo naliwasilisha kwa wadau wanakushauri ,Sasa mijinga imekalia umbeya tu
 
Jf tunafanywa kama watoto, huyu mtu kuna uzi wake anaomba ushauri ya kwamba mume wake kamtukania mama yake.


Daa hii inatisha
Mimi ni mshauri nasaha mambo ya mahusiano ukiwa na tatizo naliwasilisha kwa wadau wanakushauri
 
Mkuu kwenye maisha unapomsaidia mtu usitegemee chochote hata yesu aliponya watu wengi ukoma ila ni mmoja tu ndio aligeuka nyuma na kushukuru hao ndio binadamu walivyo expect nothing to them.
Ndio waibe hati ya nyumba yg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…