Nitabaki na mke wangu na wanangu, kumbe ndugu ni kenge tu

Mke yupo bize kuuguza mume unapata muda wa kulinda nyaraka ,nae aliiba kwa kutumia udhaifu wa beki tatu
 
Kumbuka.

Wahenga walisema maneno mengine yenye maana ukiyaunganisha na habari yako.

1. Tenda wema, nenda zako. Usingoje shukurani.

2. Mtaka nyingi nasaba, hupata mwingi msiba.
Ndio waibe hati
 
Ndugu wengi miyeyusho sana. Unampa mtaji anaufyeka. Unajaribu kila njia hakuna kitu. Mwisho wa siku wewe ndiyo mbaya. Hata ujitoe namna gani hakuna shukrani. Siku tu ukiacha au ukaingia kwenye matatizo unageuka kuwa mbaya.

Nasaidia ndugu kila ninapoweza ila nachukulia tu ni kama sadaka natoa. Na sitegemei cho chote in return!
 
Kumbuka.

Wahenga walisema maneno mengine yenye maana ukiyaunganisha na habari yako.

1. Tenda wema, nenda zako. Usingoje shukurani.

2. Mtaka nyingi nasaba, hupata mwingi msiba.
Ndio waibe hati ya nyumba yg
 
Kupona kwako imetuuma sana sisi wadogo zako tulikua tumeshagawana hizo mali gari lilikua langu yaani umeamua kupona bila sababu ili sisi tuteseke?
 
Visa hivi nadhani anavichukuaga kwenye mitandao anatuletea hasa fb kwa Idd Makengo, hata kisa cha mume kumtukania mama ni kutoka Idd Makengo
 
Visa hivi nadhani anavichukuaga kwenye mitandao anatuletea hasa fb kwa Idd Makengo, hata kisa cha mume kumtukania mama ni kutoka Idd Makengo
Nawe kachukue kama ni lahisi , je wajuaje kama yeye kachukua kwangu
 
Jf tunafanywa kama watoto, huyu mtu kuna uzi wake anaomba ushauri ya kwamba mume wake kamtukania mama yake.

Daa hii inatisha
Mtu upo siriaz kutoa ushauri kumbe hadithi ya kutunga. [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…