Nitabaki na mke wangu na wanangu, kumbe ndugu ni kenge tu

Nitabaki na mke wangu na wanangu, kumbe ndugu ni kenge tu

Hao ndugu ndo uliowasaidia kuwasomesha ama ni wengine?

Mshukuru Mungu kwa kila jambo. Kumbuka kila jambo linalotokea katika maisha yako lina funzo ndani yake.
 
Back
Top Bottom