Nitachukia kama Yanga watashiriki kumrubuni Kibu na baadae kumsajili

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Nimeona mitandaoni ati team yangu ya Yanga ndo wanacheza hizi drama za kumrubuni Kibu ili kumsajili.
Huu sio weledi ni jambo baya na uhuni.

Sisi ni watu tushindane katika uhalali sio dhuluma.

Kibu aache mambo ya ajabu akatumikie team yake Simba. Simba wamempa heshima wakampa mkataba na kalipwa pesa ndefu million 760 Bado anawazingua.

Kama alikuwa hataki angeweka wazi Simba wakatafuta mchezaji mwingine akaenda preseason kujiandaa, kama alivofanya Chama alikwambia mapema wakajua kuziba pengo lake.

Kama Yanga tutamsajili huyu Kibu itakuwa ni maudhi
 
Yanga ashindwe kumrubuni pindi amemaliza mkataba aje amrubuni sasa hivi akiwa ashasaini mkataba na Simba? Hizi akili za kuvukia Barabara kujitungia unachojisikia kipo umbumbuni tu
 
Wenzetu akili yao ni kucheza Ulaya hata huyu dogo yeye afikirii kwenda Ulaya kwa kiwango chake yupo busy na Azam ingekua ana asili ya Congo angeenda hata Belgium ndio vile anataka kushangiliwa na sauti anazozijua mtaani..
Kibu ni mcongo mwenye pasipoti ya TZ
 
Mkuu ukitafuta asili zetu unaweza kushangaa tunatokea Sudani kusini haya mambo yaache tu..
Angalia pb yake,jam11 ni mcongo mwenye pasi ya TZ
IMG-20240723-WA0025.jpg
 
Pale YANGA kuna kikundi cha watu wa hovyo sana.....nadhani tangia enzi za GULAMALI....

Si wakati wa kuwakalia kimya tabia zao za kurubuni wachezaji wa SIMBA...
 
Nimeona mitandaoni ati team yangu ya Yanga ndo wanacheza hizi drama za kumrubuni Kibu ili kumsajili.
Huu sio weledi ni jambo baya na uhuni.

Sisi ni watu tushindane katika uhalali sio dhuluma.

Kibu aache mambo ya ajabu akatumikie team yake Simba. Simba wamempa heshima wakampa mkataba na kalipwa pesa ndefu million 760 Bado anawazingua.

Kama alikuwa hataki angeweka wazi Simba wakatafuta mchezaji mwingine akaenda preseason kujiandaa, kama alivofanya Chama alikwambia mapema wakajua kuziba pengo lake.

Kama Yanga tutamsajili huyu Kibu itakuwa ni maudhi
Yanga ina haki ya kumsajiri yeyote inayemtaka provided wana uwezo wa kufanya malipo yote yatakiwayo..!!! 5imba walifanya umafia kwa Fei, sasa ubaya ubwelili, acha warambwe visogo..!!
 
Pale YANGA kuna kikundi cha watu wa hovyo sana.....nadhani tangia enzi za GULAMALI....

Si wakati wa kuwakalia kimya tabia zao za kurubuni wachezaji wa SIMBA...
Ubaya UBWELILI
 
Mkuu ukienda kutafuta maisha Nje utaelewa hapa hatutaelewana wengi wametumia hizo mambo na ni kawaida tu na pia sijui kama ni sawa kusambaza Passport ya mtu mtandaoni...
Hiyo imesambaa jana,kibu amekulia kigoma kwenye kambi za wakimbizi,kutokana na kipaji chake cha mpira akajilipua timu ndogo za kigoma,baadae akasajiliwa timu za ligi,akaitwa taifa stars pasipo kujua si mtanzania,baadae ilipokuja kugundulika si mtanzania ndio akapewa uraia kabisa,toka awe m TZ hata miaka 3 bado
 
Nisikutolee mfano wa mbali mimi niliwahi kuwa na passport hiyo ya SA kuzaliwa Morogoro Mazimbu kwenye kutafuta tunatumia miguu mingi ili ufanikiwe nikapata Elimu ya Chuo bure na kazi nikawa sikatwi kodi kama mtu kutoka Nje ya SA ukiwa hapa home utaona kitu cha ajabu Kibu ni mjanja anatengeneza fursa kupitia Tanzania huku Watanzania wakiwa busy kusambaza Mkwaju mtandaoni kwa chuki zao tu Afrika ni moja Wakina Carl Peter's walikuja kutugawa na kututawala...
 
Back
Top Bottom