Yanga jangwa jangwa... Simba damu damu...Mimi YANGA damu ila simba chuo cha mpira
Masandawane FC umeihama siku hizi sio?Mimi YANGA damu ila simba chuo cha mpira
Yanga ashindwe kumrubuni pindi amemaliza mkataba aje amrubuni sasa hivi akiwa ashasaini mkataba na Simba? Hizi akili za kuvukia Barabara kujitungia unachojisikia kipo umbumbuni tuNimeona mitandaoni ati team yangu ya Yanga ndo wanacheza hizi drama za kumrubuni Kibu ili kumsajili.
Huu sio weledi ni jambo baya na uhuni.
Sisi ni watu tushindane katika uhalali sio dhuluma.
Kibu aache mambo ya ajabu akatumikie team yake Simba. Simba wamempa heshima wakampa mkataba na kalipwa pesa ndefu million 760 Bado anawazingua.
Kama alikuwa hataki angeweka wazi Simba wakatafuta mchezaji mwingine akaenda preseason kujiandaa, kama alivofanya Chama alikwambia mapema wakajua kuziba pengo lake.
Kama Yanga tutamsajili huyu Kibu itakuwa ni maudhi
Kibu ni mcongo mwenye pasipoti ya TZWenzetu akili yao ni kucheza Ulaya hata huyu dogo yeye afikirii kwenda Ulaya kwa kiwango chake yupo busy na Azam ingekua ana asili ya Congo angeenda hata Belgium ndio vile anataka kushangiliwa na sauti anazozijua mtaani..
Mkuu ukitafuta asili zetu unaweza kushangaa tunatokea Sudani kusini haya mambo yaache tu..Kibu ni mcongo mwenye pasipoti ya TZ
Angalia pb yake,jam11 ni mcongo mwenye pasi ya TZMkuu ukitafuta asili zetu unaweza kushangaa tunatokea Sudani kusini haya mambo yaache tu..
Yanga ina haki ya kumsajiri yeyote inayemtaka provided wana uwezo wa kufanya malipo yote yatakiwayo..!!! 5imba walifanya umafia kwa Fei, sasa ubaya ubwelili, acha warambwe visogo..!!Nimeona mitandaoni ati team yangu ya Yanga ndo wanacheza hizi drama za kumrubuni Kibu ili kumsajili.
Huu sio weledi ni jambo baya na uhuni.
Sisi ni watu tushindane katika uhalali sio dhuluma.
Kibu aache mambo ya ajabu akatumikie team yake Simba. Simba wamempa heshima wakampa mkataba na kalipwa pesa ndefu million 760 Bado anawazingua.
Kama alikuwa hataki angeweka wazi Simba wakatafuta mchezaji mwingine akaenda preseason kujiandaa, kama alivofanya Chama alikwambia mapema wakajua kuziba pengo lake.
Kama Yanga tutamsajili huyu Kibu itakuwa ni maudhi
Ubaya UBWELILIPale YANGA kuna kikundi cha watu wa hovyo sana.....nadhani tangia enzi za GULAMALI....
Si wakati wa kuwakalia kimya tabia zao za kurubuni wachezaji wa SIMBA...
Mkuu ukienda kutafuta maisha Nje utaelewa hapa hatutaelewana wengi wametumia hizo mambo na ni kawaida tu na pia sijui kama ni sawa kusambaza Passport ya mtu mtandaoni...Angalia pb yake,jam11 ni mcongo mwenye pasi ya TZView attachment 3050591
Hiyo imesambaa jana,kibu amekulia kigoma kwenye kambi za wakimbizi,kutokana na kipaji chake cha mpira akajilipua timu ndogo za kigoma,baadae akasajiliwa timu za ligi,akaitwa taifa stars pasipo kujua si mtanzania,baadae ilipokuja kugundulika si mtanzania ndio akapewa uraia kabisa,toka awe m TZ hata miaka 3 badoMkuu ukienda kutafuta maisha Nje utaelewa hapa hatutaelewana wengi wametumia hizo mambo na ni kawaida tu na pia sijui kama ni sawa kusambaza Passport ya mtu mtandaoni...
Nisikutolee mfano wa mbali mimi niliwahi kuwa na passport hiyo ya SA kuzaliwa Morogoro Mazimbu kwenye kutafuta tunatumia miguu mingi ili ufanikiwe nikapata Elimu ya Chuo bure na kazi nikawa sikatwi kodi kama mtu kutoka Nje ya SA ukiwa hapa home utaona kitu cha ajabu Kibu ni mjanja anatengeneza fursa kupitia Tanzania huku Watanzania wakiwa busy kusambaza Mkwaju mtandaoni kwa chuki zao tu Afrika ni moja Wakina Carl Peter's walikuja kutugawa na kututawala...Hiyo imesambaa jana,kibu amekulia kigoma kwenye kambi za wakimbizi,kutokana na kipaji chake cha mpira akajilipua timu ndogo za kigoma,baadae akasajiliwa timu za ligi,akaitwa taifa stars pasipo kujua si mtanzania,baadae ilipokuja kugundulika si mtanzania ndio akapewa uraia kabisa,toka awe m TZ hata miaka 3 bado