Nitachukia kama Yanga watashiriki kumrubuni Kibu na baadae kumsajili

Swali fikirishi je unauhakika Katia kibindoni 760 milioni? Halafu manyoya, pruuuu!, kama ni kweli huo ni utapeli, (a crook)
 
Kibu huyo wanaemuita Mgeni rasmi?
Yanga wakimsajili huyu jamaa nitaamini kuwa viongozi wanatuona punguani, haki ya mama!
 
Yanga ndiyo wamesuka mipango yote ya kumtorosha na ndiyo wamempa m400 kurudisha Simba ili wamchukue kama mchezaji huru. Ngoja tuone huu mchezo utakavyo kwisha nani ataibuka kidedea. Muda ni mwalimu mzuri
 
Pambaneni na hali yenu.
Kibu sio mchezaji wa kucheza Yanga.
Mchezaji gani anamaliza ligi ana goli moja?

Nb. TUMETOKA KWA MAGOMA, TUMEAMIA KWA KIBU D.
 
Pambaneni na hali yenu.
Kibu sio mchezaji wa kucheza Yanga.
Mchezaji gani anamaliza ligi ana goli moja?

Nb. TUMETOKA KWA MAGOMA, TUMEAMIA KWA KIBU D.
Tusubirie tuone litakavyokwisha. Ila kwangu mimi akiondoka poa sana sijaona mchango wake kabisa haiwezekani mshambuliaji msimu mzima goli ameliona mara moja tu, wa nini huyu?
 
Kwani hao wenye simba yao wanasemaje?
 
Milioni 760?

Hapana sio kweli.

Yanga kumchukua Kibu inawezekana kwa sababu huwa hawashindwagi jambo. Ila Kibu kupewa milioni 760 na Simba hilo lina ukakasi kwa sababu Simba hawawezi kutoa hela yote hiyo kwa Kibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…