HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Viongozi wa upinzani wote Tanzania ni mamruki wa ccm wanalipwa kufanya maigizo ndiyo maana hawadhuriki kwenye maandamano na familia zao kwa serikali inagharamia kila kitu ikiwemo kuwalipa wanapokaa ndani na kuhudumia famialia zao.
Hiyo ya kukamatwa mara kwa mara ni geresha kuwapumbaza Watanzania na kuwahifadhi wasidhuruke kwenye maandamano, sasa nyie jidanganyeni
Hivi kweli kosa la UHAINI leo linadhamana??
Hiyo ya kukamatwa mara kwa mara ni geresha kuwapumbaza Watanzania na kuwahifadhi wasidhuruke kwenye maandamano, sasa nyie jidanganyeni
Hivi kweli kosa la UHAINI leo linadhamana??