HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Chawa huyu wa ccm, huwa anajifanya kuandika hivi ili watu wawachukie hao kina heche.Unajichanganya bure. Hilo kosa lao la uhaini limesajiliwa kwenye mahakama gani?
Kamuulize Mama yako atakupa jibuHivi kweli kosa la UHAINI leo linadhamana??
Kama wewe ulivyomuuliza mama yako kwanza kabla ya kuandika humu,toka barabarani kama hutaki ukweliKamuulize Mama yako atakupa jibu
Ujinga wenu ndiyo unawagjarimu na utaendekea kuwagharimuChawa huyu wa ccm, huwa anajifanya kuandika hivi ili watu wawachukie hao kina heche.
Ana propaganda za kizamani
Jifunze upya kufanya propagandaUjinga wenu ndiyo unawagjarimu na utaendekea kuwagharimu
Kwanini halikusajiliwa kwenye mahakama yoyote iwapo wao ndiyo wahamasishaji wa waliotenda makosa ya uhaini??hamjitambui na hamtokaa mjitambue!!Unajichanganya bure. Hilo kosa lao la uhaini limesajiliwa kwenye mahakama gani?
Umewahi kuona mtuhumiwa gani aliyefikishwa mahakamani kisha akapewa dhamana na polisi?Kwanini halikusajiliwa kwenye mahakama yoyote iwapo wao ndiyo wahamasishaji wa waliotenda makosa ya uhaini??hamjitambui na hamtokaa mjitambue!!
Kwahiyo hiyo criminal justice system yako ni kwaajili ya hao wapendwa wako tu hairuhusu kuunganishwa watuhumiwa mahakamani kwa watuhumiwa waliyo mahakamani tayari?Umewahi kuona mtuhumiwa gani aliyefikishwa mahakamani kisha akapewa dhamana na polisi?
Obviously, huzijui taratibu za criminal justice system!
Kwa Logic yako ni kua kama wangefungwa na kukosa dhamana basi ni wapinzani wa kweli?Viongozi wa upinzani wote Tanzania ni mamruki wa ccm wanalipwa kufanya maigizo ndiyo maana hawadhuriki kwenye maandamano na familia zao kwa serikali inagharamia kila kitu ikiwemo kuwalipa wanapokaa ndani na kuhudumia famialia zao.
Hiyo ya kukamatwa mara kwa mara ni geresha kuwapumbaza Watanzania na kuwahifadhi wasidhuruke kwenye maandamano, sasa nyie jidanganyeni
Hivi kweli kosa la UHAINI leo linadhamana??
Kwani hakuna wapinzani wamewahi kukaa tu ndani bila kufikishwa mahakamani kwa muda mrefu iweje hawa waachiwe ghafla na wao ndiyo wanadaiwa kuwa wachochezi na wahamasishaji?inakuingia akilini wewe kweli?Kwa Logic yako ni kua kama wangefungwa na kukosa dhamana basi ni wapinzani wa kweli?
Kila mtu ana akili zake
You seem to be all over the place. Ni kosa gani la uhaini walilotenda, kwa mujibu wa sheria?Kwahiyo hiyo criminal justice system yako ni kwaajili ya hao wapendwa wako tu hairuhusu kuunganishwa watuhumiwa mahakamani kwa watuhumiwa waliyo mahakamani tayari?
Tarizo mnaleta sheria za kuhamisha kuotka kwa waliowatawala zilizotofauti na mazungira yenu na kujidai mmesoma sheria
Kwa hiyo wamelipwa ndiyo conclusion yako? Kwa nini usifikiries ni weakness ya watawala kwa uovu wake ili wafanye divide and rule kuonyesha double standard ili watu "weak minded" kama wewe muwe na such malicious thinking? You're capturedKwani hakuna wapinzani wamewahi kukaa tu ndani bila kufikishwa mahakamani kwa muda mrefu iweje hawa waachiwe ghafla na wao ndiyo wanadaiwa kuwa wachochezi na wahamasishaji?inakuingia akilini wewe kweli?
Jitahidi watu wasijue kuwa huna akiliViongozi wa upinzani wote Tanzania ni mamruki wa ccm wanalipwa kufanya maigizo ndiyo maana hawadhuriki kwenye maandamano na familia zao kwa serikali inagharamia kila kitu ikiwemo kuwalipa wanapokaa ndani na kuhudumia famialia zao.
Hiyo ya kukamatwa mara kwa mara ni geresha kuwapumbaza Watanzania na kuwahifadhi wasidhuruke kwenye maandamano, sasa nyie jidanganyeni
Hivi kweli kosa la UHAINI leo linadhamana??
ChaiViongozi wa upinzani wote Tanzania ni mamruki wa ccm wanalipwa kufanya maigizo ndiyo maana hawadhuriki kwenye maandamano na familia zao kwa serikali inagharamia kila kitu ikiwemo kuwalipa wanapokaa ndani na kuhudumia famialia zao.
Hiyo ya kukamatwa mara kwa mara ni geresha kuwapumbaza Watanzania na kuwahifadhi wasidhuruke kwenye maandamano, sasa nyie jidanganyeni
Hivi kweli kosa la UHAINI leo linadhamana??