Nitaendelea kusisitiza wapinzani wote ni CCM, munielewe

Nenda Singida kwakina Lissu uwaambie ndugu yenu Lissu yupo gerezani anaigiza,uwakumbushe na lile igizo la kupigwa risasi,uwaambie hata wewe ukiwa unalipwa kama Lissu unaweza kuigiza maigizo wanayiigiza akina Lissu.
 
Serikali inapenda sana wajinga kama wewe.
 
Kwahio tufanyeje??
 
hao wezi wa kura wamevurugwa wanatapatapa hawajui pa kuanzia kwani kuuza barakoa ni uhaini? ni hivi nafikiri walimdanganya samuya kuwa walioandamana ni wageni kutoka nje baada kustuka wameua maelfu kitu ambacho ni kosa kisheria ndani na kimataifa ndiyo maana wanaangaika kuficha ushahidi sio kwamba hawaogopi wamelikoroga hivyo wanaogopa sheria za kimataifa mauaji ya alaiki
 
Kana wapinzani wote ccm, sasa hivi vita vinasababishwa na nini?
 
Kwani walishapeleka mahakamani ?? We ni msengerema kabisa
 

As a lawyer kujadili udaku ni laana, hebu naomba source ni katika mahakama ipi ambayo viongozi wa chadema ukitoa Lissu wamepewa case ya uhaini?
 
Hizi siasa Zina hitaji umakini Sana.

nakumbuka kipindi Cha jpm lissu alivushwa kibabe na jk kwenda kutibiwa hukoo nairobi.

Watu walipigwa marufuku kwenda kumwona na jpm mwenyewe

lakini kwa liwalo na liwe alienda mmoja tu ambaye ni Samia

hata hivyo baadae Samia ndiye aliye mludisha tls tz

Cha ajabu Leo Samia ndiye kampiga ndani tls

Najaribu kuwaza hapa naona risasi pekee ndiyo zina niambia tls nimpinzani lakini kinyume na hapo ni wale wale tu
 
Anzia hapa....

1) lissu Ana pigwa risasi nyingi lakini mungu mwema Ana pona baada ya kukimbizwa nairobi kwa ticket ya jk

2)jpm anaskia yupo Nairobi anazuia hakuna MTU kwenda kumwona lakini Samia kwa liwalo na liwe anaenda kumwona sijui kwa faida gani hapo baadae?

3) lissu Ana pona hatuijui kwa gharama za Nani Kisha anaenda ubelgiji uhamishoni

4) Samia anakuwa raisi Ana mludisha lissu Kisha mbowe ana pigwa chini lissu anachukua uenyekiti wa chama

5)lissu anakuwa adui na serikali ya Samia Kisha ana ingia maabusu chini ya samia. Lakini usisahau Samia alienda kumwona lissu Nairobi Tena katika mazingira tata

6)dakika za mwisho kuelekea 29 Oct tuna msikia tesha captain akiwaambia wanainchi jeshi li pamoja nao

7)be for 29 Oct mala pole pole tukijua yupo quba tunaskia kaka matwa akiwa tz watu midomo wazi si alikuwa quba kafika lini huku? Na kwanini alikuja kwenye mazingira Kama haya?

8) ghafra tunamsikia lissu anasema hapa hakuna kesi Bali nakaa ndani for 29oct

9)siku chache kabra ya 29oct heche anali kologa huko mipakani Kisha akijua amelikologa anaji tokeza mahakamani ana pigwa ndani

Watu wanajiuliza kwanini asingejificha aji tokeze 29 Oct?

10) 29 oct.
maandamano Yana fanyika na wanainchi pasipo lissu,heche,polepole, Wala tesha

yaliyo semwa na tesha hayakufanyika Wala tesha hakuludi Kama alivyo ahidi

watu wanakufa na raisi Ana shinda kwa 98%

12)heche anatoka na maisha yanaendelea huku lissu akiwa ndani na maridhiano yaki andaliwa

Hiyo ndiyo siasa

Sita shangaa kesho lissu akiwa president na yupo under samia&kikwete control kwani Wana mdai maisha yake

Hiyo ndiyo siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…