Nitafanyaje ili niweze kupata tenda ya kukusanya ushuru wa maliwato za stendi dsm

bank

Senior Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
158
Reaction score
24
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyoeleza naombeni mwenye ufahamu ni njia gani zinazotakiwa kufuatwa ili manispaa waweze kunipa tenda ya kukusanya ushuru wa mojawapo ya maliwato zake,mfano ile stendi mpya inayojengwa pale mawasiliano.hii biashara inalipa sana sema kuipata ndio shida.
Kuna ukuritimba sana katika tenda zao so mwenye mbinu tafadhali aitoe isipokuwa mbinu ya kuhonga maana hiyo siiwezi na hata ningekuwa na hela ya kuhonga ni bora ningefanya kazi nyingine mbadala.

Asanteni.
 
pele kama hutaki kuhonga husitegemee kupata tenda
 
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyoeleza naombeni mwenye ufahamu ni njia gani zinazotakiwa kufuatwa ili manispaa waweze kunipa tenda ya kukusanya ushuru wa mojawapo ya maliwato zake,mfano ile stendi mpya inayojengwa pale mawasiliano.hii biashara inalipa sana sema kuipata ndio shida.
Kuna ukuritimba sana katika tenda zao so mwenye mbinu tafadhali aitoe isipokuwa mbinu ya kuhonga maana hiyo siiwezi na hata ningekuwa na hela ya kuhonga ni bora ningefanya kazi nyingine mbadala.

Asanteni.
hutaki kuhonga mkuu huwezi biashara. HONGA UPATE KAZI MKUU.
 
mkuu omba kama wengine wakikunyima wapeleke/washtaki PPRA (Public Procurement Regulatory Authority) wakuambie vigezo gani wametumia kukunyima kama kweli hawakufuata vigezo na wewe una sifa stahiki kuliko aliyepewa tenda, utapewa tenda wewe. Otherwise ukawaloge TENDER BOARD MEMBERS.
 
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyoeleza naombeni mwenye ufahamu ni njia gani zinazotakiwa kufuatwa ili manispaa waweze kunipa tenda ya kukusanya ushuru wa mojawapo ya maliwato zake,mfano ile stendi mpya inayojengwa pale mawasiliano.hii biashara inalipa sana sema kuipata ndio shida.
Kuna ukuritimba sana katika tenda zao so mwenye mbinu tafadhali aitoe isipokuwa mbinu ya kuhonga maana hiyo siiwezi na hata ningekuwa na hela ya kuhonga ni bora ningefanya kazi nyingine mbadala.

Asanteni.

Nakushauri ukafanye hiyo kazi mbadala haraka sana kabla haujapoteza muda wako bure.
 
mkuu omba kama wengine wakikunyima wapeleke/washtaki PPRA (Public Procurement Regulatory Authority) wakuambie vigezo gani wametumia kukunyima kama kweli hawakufuata vigezo na wewe una sifa stahiki kuliko aliyepewa tenda, utapewa tenda wewe. Otherwise ukawaloge TENDER BOARD MEMBERS.

pesa ya kuhonga huko anayo?!!
 
watanzania achene woga kila kitu mnataka kuhonga umejaribu ukaombwa rushwa?
 
Nchi ya kitu kidooogo!
Usipokuwa na mkono mrefu pia bila kujuana au kula sahani moja na wanene wa Nchi hii utaendelea kusota na kukondeana milele!
Huko kwenye zabuni za serikali kuna sirikali hapana chezea kabisa ndg yangu bora ukafuge mifugo na kufanya ukulima wa hortcuture, alizeti, ufuta, vanilla na dengu.
Unless usithubutu kuchezea sharubu za babu!
 
mkuu omba kama wengine wakikunyima wapeleke/washtaki PPRA (Public Procurement Regulatory Authority) wakuambie vigezo gani wametumia kukunyima kama kweli hawakufuata vigezo na wewe una sifa stahiki kuliko aliyepewa tenda, utapewa tenda wewe. Otherwise ukawaloge TENDER BOARD MEMBERS.

Hayo mambo unayosema ni sahihi. Lakini lazima uwe mdau wa ukweli wa mambo ya zabuni au umesomea mambo ya procurement. Kuna procedure za kufuata sio hiv hiv.
 
...ccm wapo ? sahau au andaa rushwa...
 
pesa ya kuhonga huko anayo?!!

Bora umelisema hilo maana hata huko nako kuejaa rushwa bila kuhonga utaambiwa tu hukuwa na sifa.Ila iko siku watakuja kujuta sana we waache tu
 
watanzania achene woga kila kitu mnataka kuhonga umejaribu ukaombwa rushwa?

Mkuu Ukiona mtu anaongea hivyo ujue mazingira yashatokea mara nyingi.Na wakati mwingine unakuta hela unayotakiwa kuhonga ni kubwa kuliko unayotarajia kuipata.
 
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyoeleza naombeni mwenye ufahamu ni njia gani zinazotakiwa kufuatwa ili manispaa waweze kunipa tenda ya kukusanya ushuru wa mojawapo ya maliwato zake,mfano ile stendi mpya inayojengwa pale mawasiliano.hii biashara inalipa sana sema kuipata ndio shida.
Kuna ukuritimba sana katika tenda zao so mwenye mbinu tafadhali aitoe isipokuwa mbinu ya kuhonga maana hiyo siiwezi na hata ningekuwa na hela ya kuhonga ni bora ningefanya kazi nyingine mbadala.

Asanteni.

ww mwnyw umisha sema kuna ukirikimba,kuhonga ndo hvyo usha sema huwezi sasa unadhani u2mie njia gn? Coz ukiwa ke ujipendekeze au Me uvae sketi bdo itakuwa ni hongo na labda uwe mkurugenzi au gombea urais wa JMT uchukue kwa urahisi
 
Back
Top Bottom