bank
Senior Member
- Jan 9, 2011
- 158
- 24
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyoeleza naombeni mwenye ufahamu ni njia gani zinazotakiwa kufuatwa ili manispaa waweze kunipa tenda ya kukusanya ushuru wa mojawapo ya maliwato zake,mfano ile stendi mpya inayojengwa pale mawasiliano.hii biashara inalipa sana sema kuipata ndio shida.
Kuna ukuritimba sana katika tenda zao so mwenye mbinu tafadhali aitoe isipokuwa mbinu ya kuhonga maana hiyo siiwezi na hata ningekuwa na hela ya kuhonga ni bora ningefanya kazi nyingine mbadala.
Asanteni.