hutaki kuhonga mkuu huwezi biashara. HONGA UPATE KAZI MKUU.Wakuu kama kichwa cha habari kinavyoeleza naombeni mwenye ufahamu ni njia gani zinazotakiwa kufuatwa ili manispaa waweze kunipa tenda ya kukusanya ushuru wa mojawapo ya maliwato zake,mfano ile stendi mpya inayojengwa pale mawasiliano.hii biashara inalipa sana sema kuipata ndio shida.
Kuna ukuritimba sana katika tenda zao so mwenye mbinu tafadhali aitoe isipokuwa mbinu ya kuhonga maana hiyo siiwezi na hata ningekuwa na hela ya kuhonga ni bora ningefanya kazi nyingine mbadala.
Asanteni.
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyoeleza naombeni mwenye ufahamu ni njia gani zinazotakiwa kufuatwa ili manispaa waweze kunipa tenda ya kukusanya ushuru wa mojawapo ya maliwato zake,mfano ile stendi mpya inayojengwa pale mawasiliano.hii biashara inalipa sana sema kuipata ndio shida.

mkuu omba kama wengine wakikunyima wapeleke/washtaki PPRA (Public Procurement Regulatory Authority) wakuambie vigezo gani wametumia kukunyima kama kweli hawakufuata vigezo na wewe una sifa stahiki kuliko aliyepewa tenda, utapewa tenda wewe. Otherwise ukawaloge TENDER BOARD MEMBERS.
pesa ya kuhonga huko anayo?!!
watanzania achene woga kila kitu mnataka kuhonga umejaribu ukaombwa rushwa?

huko tena!?
atazeeka!Fata taratibu za tenda