Ajira Tanzania
Member
- Feb 8, 2017
- 79
- 27
5 millionKama kias gan mtaji
not yet mkuuSawa tupeane ideas tuone tunafanyaje kupata mtaji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hizi ndio ndoto za alinacha sasa
Wakuu habari zenu...
Nataka kufungua kampuni ambayo itachangia sana kupunguza makali ya ukosefu wa ajira nchini Tanzania.
Tatizo ni kwamba sina hata dala mfukoni. Sitaki kushare idea hapa ila nataka kujua napataje mtaji?
ndo hivyo mkuuAnatafuta m5 tu afungue kampuni
Just contact the registrar of companies office to know their policy as to whether you can start a company without "capital owned".Wakuu habari zenu...
Nataka kufungua kampuni ambayo itachangia sana kupunguza makali ya ukosefu wa ajira nchini Tanzania.
Tatizo ni kwamba sina hata dala mfukoni. Sitaki kushare idea hapa ila nataka kujua napataje mtaji?
sawa kiongozJust contact the registrar of companies office to know their policy as to whether you can start a company without "capital owned".
I think is impossible.
Note: I just red business on books(at school)
very wrong mkuu, mipango hutangulia pesa kwani pesa bila mipango itapotea tuNi sawa na kupanga kuowa wakati huna nguvu za kiume!hahaa!akili za kuambiwa changanya na zako
Kopa hata kwa ndugu mkuuWakuu habari zenu...
Nataka kufungua kampuni ambayo itachangia sana kupunguza makali ya ukosefu wa ajira nchini Tanzania.
Tatizo ni kwamba sina hata dala mfukoni. Sitaki kushare idea hapa ila nataka kujua napataje mtaji?