Nitafunguaje kampuni nikiwa sina mtaji?

Nitafunguaje kampuni nikiwa sina mtaji?

Joined
Feb 8, 2017
Posts
79
Reaction score
27
Wakuu habari zenu...

Nataka kufungua kampuni ambayo itachangia sana kupunguza makali ya ukosefu wa ajira nchini Tanzania.

Tatizo ni kwamba sina hata dala mfukoni. Sitaki kushare idea hapa ila nataka kujua napataje mtaji?
 
Last edited by a moderator:
Sawa tupeane ideas tuone tunafanyaje kupata mtaji
 
Ohhhppppssssss.... My Gadnesss... 😳 😳
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu habari zenu...

Nataka kufungua kampuni ambayo itachangia sana kupunguza makali ya ukosefu wa ajira nchini Tanzania.

Tatizo ni kwamba sina hata dala mfukoni. Sitaki kushare idea hapa ila nataka kujua napataje mtaji?

Mkuu vipi kuhusu ya fuatayo:-

1. Plan
2. Location ya kazi husika
3. Type of customers
4. Cash

Ukidhani pesa ni number moja, tayari umeshafeli kabla huja'nza.
Pia ni ngumu kusaidika kama kazi iliokusudiwa haijulikani (no clue).
 
Wakuu habari zenu...

Nataka kufungua kampuni ambayo itachangia sana kupunguza makali ya ukosefu wa ajira nchini Tanzania.

Tatizo ni kwamba sina hata dala mfukoni. Sitaki kushare idea hapa ila nataka kujua napataje mtaji?
Just contact the registrar of companies office to know their policy as to whether you can start a company without "capital owned".
I think is impossible.
Note: I just red business on books(at school)
 
Ni sawa na kupanga kuowa wakati huna nguvu za kiume!hahaa!akili za kuambiwa changanya na zako
 
Just contact the registrar of companies office to know their policy as to whether you can start a company without "capital owned".
I think is impossible.
Note: I just red business on books(at school)
sawa kiongoz
 
Kutegemea na credit rating yako, mitaji kwa mtu wa hadhi yako inapatikana benki. Kajiuze huko.
 
Wakuu habari zenu...

Nataka kufungua kampuni ambayo itachangia sana kupunguza makali ya ukosefu wa ajira nchini Tanzania.

Tatizo ni kwamba sina hata dala mfukoni. Sitaki kushare idea hapa ila nataka kujua napataje mtaji?
Kopa hata kwa ndugu mkuu
 
Back
Top Bottom